Tuwe Wakweli, tutapataje Katiba Mpya kama hatutampitisha bila kupingwa Rais Samia 2025 ili akatukamilishie Mchakato kuelekea 2030?

Serikali yake imeweka mipaka ya kuwaingilia, wapo huru kufanya biashara bila bughudha na wanauhuru wa kufanya chochote watakacho.

Hali hii haikuwepo miaka kadhaa nyuma.

Kwanini wasikubaliane na hoja yako ili maridhiano yawe na tija katika uchaguzi wa 2029-2030.
Kweli kabisa!
 
Sio katiba mpya Bali katiba inayoeleweka na uwezo huo CCM hawana.
Mkiipata na ikajibu hoja zenu nageuka Jibwa. NJAA KALI FC
 
Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya.

Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake.

Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe.

Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!

Ni ngumu Sana Kwa kiongozi wa chama ambacho kimeongoza Kwa miaka mingi kuleta katiba mpya

Katiba mpya inaweza kuja pale Tu kutakapokuwa na serikali ya mseto

Bila hivyo hakuna katiba mpya mpaka mwisho wa dunia

Hata chadema wakishika serikali still hawawez kuleta katiba mpya unless kuwe na nguvu ya chama kingine ambacho nao Wana madaraka
 
Hapatafanyika uchaguzi wowote 2024/2025 bila kupatikana Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA kabla haijaitwa KATIBA pendekezwa.
 
Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya.

Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake.

Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe.

Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Maana ndio ccm pekee walau anaweza push hiyo ajenda ila wengine hawataki kupoteza ulaji wao..

Samia hana makandokando so hana Cha kuhofia
 
Hapatafanyika uchaguzi wowote 2024/2025 bila kupatikana Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA kabla haijaitwa KATIBA pendekezwa.
Hayo ni mawazo Yako!
 
Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya.

Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake.

Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe.

Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Kama ameshindwa kutupatia viongoz bora hawezi tupatia Katiba bora.Ccm ifanye mchakato wa kupata Rais mwingine vinginevyo chama kitapotea na kuanza kuitwa chama kikuu cha upinzani.
 
Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu ..... basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!

Hakuna gharama ya maana itakayookolewa hapo kwasababu Uchaguzi wa Rais unaenda sambamba na Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani hivyo Fixed costs ni kubwa sana kuliko Variable costs zitakazohusiana na Uchaguzi wa Rais tu.
 
Hapatafanyika uchaguzi wowote 2024/2025 bila kupatikana Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA kabla haijaitwa KATIBA pendekezwa.
Kutofanyika uchaguzi maana yake CCM iendelee kutawala,jee haya ndiyo matakwa ya Watanzania?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama nikumfanyia kampeni Mama tuanze tu lakini si kwa kuendelea kudanaganya raia.
 
Atapitishwa bila kupingwa katika njia ya kurudi kwao kisiwani kupumzika
 
Back
Top Bottom