Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tupate kwanza katiba mpya yenye tume huru kabla ya 2025 alafu ndiyo tuingie kwenye uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda hauruhusuTupate kwanza katiba mpya yenye tume huru kabla ya 2025 alafu ndiyo tuingie kwenye uchaguzi.
Muda utaruhusu tu this time.Muda hauruhusu
Tunahitaji Katiba Bora siyo ya Mwendokasi kama ya akina Raila Odinga kule nchi jirani!
Tundu Lisu: Muswada wa sheria ya Katiba mpya ni lazima upelekwe bungeni kwenye kikao cha Bunge kinachokuja vinginevyo tumeshachelewa!Muda utaruhusu tu this time.
Chadema tutasimamisha mgombea wa Urais bila kujali CCM wamemsimamisha nani.Ni matakwa ya Watanzania CCCM kuiba uchaguzi?
Rais Samia Suluhu ameshapita ndungu na hata kama akipingwa hakuna wa kumshinda maana anahoja za kutosha amefanya maendeleo ya kutosha imagine miaka 2 ameboresha sekta zote ameimarisha diplomasia, democrasia bado ameruhusu mikutano ya kisiasa hii ina maana kuwa anajiaminiRais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya.
Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake.
Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe.
Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Mwambie ukweli huyo chawa!Mchakato wa katiba mpya hauwezi kuwa na gharama kubwa sana kwa sababu kila kitu kiko drafted ambayo ni maoni ya wananchi ambayo yalikusanywa na tume ya warioba cha kufanya ni kufanya amendment sehemu chache .Kazi hiyo huweza kufanywa na kikundi kidogo cha watu wachache bora kicomprise makundi yote.
Mwambie ukweli huyo ndezi!Jo unajishushia heshima yako kwa nyuzi za kipumbavu kama huu. Kwani mnahofia nini hadi mnataka tusiweke mgombea wa Urais?
Kwa Katiba hii hii mbovu,Chadema tutasimamisha mgombea wa Urais bila kujali CCM wamemsimamisha nani.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwani nini malengo ya chama cha siasa,tuanzie hapo kabla hujaanza kuleta hayo mashudu yako. Pamoja na kumkubali Samia katika uongozi kwa jinsi anavyojitahidi kusafisha mess aliyoacha Magufuli hatuwezi kuacha kuweka mgombea, hata mtu unapooa mke wa pili siyo kwanza huyo mke mkubwa hafai,la hasha.Kwa Katiba hii hii mbovu,
CDM isimamishe mgombea urais kupata RUZUKU ya mshindi wa pili au kupata RAIS?
Kuweka mgombea na ukijua hatopewa ushindi ikiwa atashinda , huoni ni ubinafsi na unafiki Kwa wananchi?Kwani nini malengo ya chama cha siasa,tuanzie hapo kabla hujaanza kuleta hayo mashudu yako. Pamoja na kumkubali Samia katika uongozi kwa jinsi anavyojitahidi kusafisha mess aliyoacha Magufuli hatuwezi kuacha kuweka mgombea, hata mtu unapooa mke wa pili siyo kwanza huyo mke mkubwa hafai,la hasha.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tutaweka mgombea kama unachukia kunywa sumu ufe. Hoja zako ni za kijima.Kuweka mgombea na ukijua hatopewa ushindi huoni ni ubinafsi na unafiki Kwa wananchi?
Upuuzi Ule ule Kila uchaguzi?
No KATIBA mpya no uchaguzi,
No Tume huru ya Uchaguzi no uchaguzi.
Nchi ni ya wote hii, Si ya CCCM pekee.
Wewe ni mmoja wa Bendera fuata upepo wa CDM?Tutaweka mgombea kama unachukia kunywa sumu ufe. Hoja zako ni za kijima.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Itakuwa alilewa maana wachaga walevi kinoma, siku ile hivyo hivyo kalewa kisha kapanda jukwaani kajitia aibu tu kwa jinsi alivyokuwa anaongea kipombe pombe mwishoe anasema "wanachama wenzangu wa ccm", yote pombe hizo.
Ongea na chama kikuu Cha machawa chadema Hangaya awamiminie Apte bila kupingwaRais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya.
Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake.
Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe.
Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Wewe mwenyewe unaandika ulevi tu humu utakuwa unabwia ugoro.Itakuwa alilewa maana wachaga walevi kinoma, siku ile hivyo hivyo kalewa kisha kapanda jukwaani kajitia aibu tu kwa jinsi alivyokuwa anaongea kipombe pombe mwishoe anasema "wanachama wenzangu wa ccm", yote pombe hizo.
Hatuwezi kukubali kurudi enzi za ujima wa NDIYO au HAPANA. Kwani hofu yenu nini Chadema kusimamisha mgombea wa Urais? Unapinga siasa za kucompromise halafu Una suggest Chadema imuachie Samia apite bila kupingwa mbona hii ni contradiction? Unatumia kilevi gani hicho wewe?Wewe ni mmoja wa Bendera fuata upepo wa CDM?
Mnaangalia Maslahi tu, tutawachuja wote mtaisha.
Siasa inagusa maisha ya watu na wengi ni maskini,
Siasa za kucompromise Kwa ajili ya Maslahi binafsi hazitakiwi.