Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Maendeleo sio utamaduni wetu
Kama alinyimwa alishindwa vipi kujenga new afrika ya kwakeSuala sio IQ kuwa ndogo.
Ila sisi kwa sisi tunabaniana tu.
Mzee Mengi si alinyimwa kuendesha New Africa hotel?
Mhindi akijenga kiwanda kesho yake anapata vibali. Wewe ukitaka kujenga kiwanda utafurahi na roho yako.
Wao walianza ujasiliamali miaka 300 kabla yetu sababu ya mazingira yao magumu na shida walizopitia zikawapa akili.Nakubaliana na wewe. Swali linakuja kwanini wahindi wawe na culture hiyo na sio sisi waswahili?
Kufikia mwaka 1971.. mechi ilianza wote tuliamka tumepangwa Ktk mstari mmoja zero zero.. ili mshindano yaanze!!Hahaha chotara wa kiarabu kanasa
Kuna ukweli katika Hilo,Ila mabadiliko yapo,taratibu tunashika uchumi mikononi.Wajasiria Mali wanaongezeka. Uzuri Ni kwamba Kipindi tulikazania Elimu,Sasa inalipa hiyo Elimu inapogeuzwa na kuwa ujasiria mali.usomi Ni asset kubwa,mda huo haukupotea bureWatanzania hatuna taratibu ya kuweka generational wealth yaani kila anaezaliwa anaanzia anapojua yeye. Ndio maana kauli nyingi za "Umekua katafute vyako " ipo common
Hao matajiri wengi wa kihindi kama Mo hawakuzitengeneza kampuni zao from the scratch. Walipewa elimu na ujuzi wa kusimamia biashara ila sisi huo utaratibu hatuna ndio maana tutabaki kuwa maskini
hiyo ni kweli bro.. Tatizo la ajira linapokuwa kubwa sana moja ya faida ni kukua kwa ujasiriamali na kuzalisha makampuni makubwa huwa ni hatua inayofuatiaKuna ukweli katika Hilo,Ila mabadiliko yapo,taratibu tunashika uchumi mikononi.Wajasiria Mali wanaongezeka. Uzuri Ni kwamba Kipindi tulikazania Elimu,Sasa inalipa hiyo Elimu inapogeuzwa na kuwa ujasiria mali.usomi Ni asset kubwa,mda huo haukupotea bure
Hakika umeniwahi kusema hivyoWabongo hatuna maajabu