Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

Wake zao ni watulivu,so discipline,hata kichwa ya mzee inatulia,sisi unarudi home umechoka unaanza kupewa yaliyojiri mchana kazini kwake,nyumbani, kwa jirani,ya ukoo ubongo wetu haupumziki kabisa,pia ni wabahili sana,muhindi anabeba msosi wa mchana,au kama ni dukani wako family wanarudi home kupiga msosi.
Hakika mkuu! Discipline inawafanya wafanikiwe hawa watu!!!
 
Ni ukweli mchungu huu....kama kungekuwa na mikakati mizuri toka muda at least tungejisifiaa hapa ,japo kwa asilimia nusu ila ndo hivyo inabidi tukubali tuyaonayo mana hawa jamaa wametupiga gape kubwa sana,kama vjana wenyewe wanaotakiwa kupindua meza ndo hawa hawa mitaani huku tunapoishi bac hatuwez na tutaishia kusema na kuona tu
 
Nazingua nini sasa kiwanda cha Dangote ni mhindi tatizo si management mmiliki sio mhindi.

Unasema kiwanda cha Nondo hujui kama kuna Kiluwa Steel Group mmiliki ni Muhammed Said Kiluwa.
Kiluwa steel ni ya mswahili ? Unajidanganya na hii ndo desturi yetu .
Kiluwa ni ya wachina na hakuna mswahili pale .nawajua vizuri na nimefanya nao kazi flani flani , hata delivery documents zao na receipts ni full chinesse .
 
Kiukweli kabisa kutokana na uzoefu wangu wa kusoma katikati ya mistari naamini kabisa Barbarosa ni mtanzania mwenye asili ya asia especially india ,ila nj kada mtiifu kuliko mwenyekiti na kwenye huu uzi anatuchora tu wabantu
 
Eti nyerere hakupenda wazawa washike hela, yaliyomkuta kambona imebaki historia.

Huyu kichaa wetu tuliye naye hapendwdi wazawa wenye hela kila kukicha Ni masheria ya kuua biashara.
Tatizo wabongo hampendi sheria tu mbona sheria zipo na hao watu wa nje wanazifuata na bado ni matajiri wa kutupwa tu kama kodi wanalipa sema sisi watz janja janja nyingi sna ndo maana hutuendelei kibishara hata kielimu pia
 
Hakuna wakwepaji kodi nchi hiii kama wahindi.
 
Ujue tuko > milioni 45, Wahindi hawafiki laki 2, ...
Kwa nini UNABAGUWA??
Kwa nini unawagawa waTZ?
Kwa nini unaweka dhana potoshi??
Kwa nini unashawishi ubaguzi ??
Kwa nini unashadidia rangi ?? (Weusi,sisi,wipe,Wahindi, waarabu, WAAFRIKA)
Kuna haki gani ya mitazamo ya chuki dhidi ya watu fulani na fulani..
Jee Weusi wote ni watanzania a u waAfrika wote ni raia wa taifa hili...
JSMANI TUPENDANE TUVUMILISNE.. hii mali na nchi tutaiacha hapahapa...!! Hakuna aliezikwa na utajiri wake!!
 
Hakuna wakwepaji kodi nchi hiii kama wahindi.
Hahaha.... kaulize TRA ??? acha kutoa takwimu za chuki..
FYI, watumishi wa kukusanya mapato watakupa uhakika na ukweli na Asilimia ngapi wa walipa kodi ni nani!!!!!! Hahaha hii ngozi pendwa '"tii"
Inafanyejee...
Tuliza povu..
 
Kiukweli kabisa kutokana na uzoefu wangu wa kusoma katikati ya mistari naamini kabisa Barbarosa ni mtanzania mwenye asili ya asia especially india ,ila nj kada mtiifu kuliko mwenyekiti na kwenye huu uzi anatuchora tu wabantu
Bantu gani unaongelea...? Kama bantu ipo hai
Mbona hatuoni ikiwa hata jina ktk kamili ya maendeleo..
Nani mwenye ujenzi bantu hapa chini au hata barani Afrika?
Jee ulishasikia hospitali inaitwa Bantu..?
Au uwanja wa mpira inaitwa bantu au uwahi wa ndege...?
Tusijichanganye..
 
Tatizo letu kubwa ni mtazamo wetu wa kimaisha ( mindset).
Tusidanganyane kuhusu IQ na vitu Kama hivo.Shida yetu ni hii tu ya jinsi tunavoyaangalia maisha.Sisi waafrika wengi tunaamini katika kuajiriwa.Tunasoma na kusomesha watoto ili waajiriwe.Wengi wetu Hatuamini katika biashara.Tunahisi biashara ni bahati nasibu,haina uhakika.Tunawaaminisha watoto wetu kuwa ajira ni kitu cha uhakika na chenye heshima.Hatufundishi na kuwatayarisha watoto wetu ili wawe wafanyabiashara.Ndio maana ikiwa mwafrika alikua anamiliki kautajiri,akifa kila kitu hufa! Watoto hawakuandaliwa.

Mbaya zaidi ni tamaduni tulizonazo ambazo zinakinzana na ulimwengu huu wa kibiashara.Hebu fikiria,MTU yuko radhi kuchangia pesa nyingi kwaajili ya harusi,lakini hayuko radhi kuweka kikao cha wanandugu cha kuchangia pesa ya kuanzisha biashara ya familia!
Unajua wahindi au waarabu wengi wana biashara za kifamilia?
 
Hanna shida Kama wanalipa Kodi ipasavyo.Na uhakika Kuna mabadiliko waswahili wengi wanafanya biashara siku hizi labda zile kubwa kubwa.
 
Unakataa Mzungu mwekezaji, halafu unaleta Wachina wawekezaji wa Mabonanza au Makorokoro ya bahati nasibu.

Nchi nzuri hii lakini ina bahati mbaya sana.
Kaka mzungu mali yake anaificha mno mchina yale mabonanza ukilitingisha au ukifanikiwa kulibeba mpaka polini umekula bingo unaenda kununua shamba
 
Si kweli. Hii ni colonial legacy. Wakati wa ukoloni Asians walikuwa kisheria ndio wafanyabiashara. Popote alipotawala Muingereza hii ndio system. Waafrika ilikuwa ni wajakazi/watwana. Mfumo huu uliendelea baada ya uhuru, wahindi wakiwa na mizizi ya biashara na connection kwenye utawala. Sisi waswahili wazazi walihimiza usome kisha uajiriwe serikalini. Ingawa sasa hivi overtime social adjustment inatokea. Waafrika wanaovertake business community.
Watanzania hatuna taratibu ya kuweka generational wealth yaani kila anaezaliwa anaanzia anapojua yeye. Ndio maana kauli nyingi za "Umekua katafute vyako " ipo common

Hao matajiri wengi wa kihindi kama Mo hawakuzitengeneza kampuni zao from the scratch. Walipewa elimu na ujuzi wa kusimamia biashara ila sisi huo utaratibu hatuna ndio maana tutabaki kuwa maskini
 
Itabakia NSSF, Tanesco, CRDB, NMB labda na mwendo kasi, hata ubishi wa mpira utaisha Tanzania kwani bila ya Wahindi /Waarabu hakuna Simba, Yanga wala Azam.

I mean, sisi watu weusi inabidi tuamke kwa kweli. Idi Amini alifukuza Wahindi baadaye wakaenda kuwapiga magoti warudi, kuna jamaa (mweusi mwenzangu) alitaka kunipiga ngumi kisa nimemuongelea MO asivyotaka kusikia, nilitafakari nikakosa jibu.

Sasa hivi Tanzania hata Utalii bila ya kampuni za Wahindi hakuna kitu, BTW Wahindi Tanzania nzima ni < 200 000 sisi tuko zaidi ya milioni 45.

Heri ya Mwaka mpya 2021

"Ukiondoa wahindi na waarabu,waswahili wenye pesa ni wa kuwahesabu halafu week end angalia nyendo zao ni kuchukua wake za watu na kutaka mambo nje ya uwezo wao,saruji ndio kiwanda kilichobakia" - John Mkoloni
 
Watanzania hatuna taratibu ya kuweka generational wealth yaani kila anaezaliwa anaanzia anapojua yeye. Ndio maana kauli nyingi za "Umekua katafute vyako " ipo common

Hao matajiri wengi wa kihindi kama Mo hawakuzitengeneza kampuni zao from the scratch. Walipewa elimu na ujuzi wa kusimamia biashara ila sisi huo utaratibu hatuna ndio maana tutabaki kuwa maskini
Nakubaliana na wewe. Swali linakuja kwanini wahindi wawe na culture hiyo na sio sisi waswahili?
 
Nakubaliana na wewe. Swali linakuja kwanini wahindi wawe na culture hiyo na sio sisi waswahili?
nadhani ni tamaduni za makabila mengi kutoka zamani. Mtoto akikua atapatiwa sehemu ya mali za kumsaidia kuanzisha maisha yake na mzazi akifariki mali zinagawanywa pasipo kuangalia uwezekano wa kuziendeleza
 
Kwa hizi sifa wanapata wahindi, india ingalikua taifa tajiri duniani.
 
Hahaha chotara wa kiarabu kanasa

Back
Top Bottom