Tuwe watulivu wakati uchunguzi unaendelea, imeisha hiyo

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Kama kawa kama dawa.

Wakisikia mbunge fulani kafariki hivyo uchaguzi utarudiwa, fasta bajeti 5bn zinapatikana mwenyekiti wa tume uchaguzi anatangaza mchakato .

Wakisikia CHADEMA inafanya mkutano, fasta saa moja nyingi sana vikosi vinamwagwa, magari ya washa washa kibao kama upupu.

Tuwe watulivu wakati uchunguzi unaendelea. Imeisha hiyo.

Tume ajali ya Moto kariakoo, Kikosi kazi cha Mauaji Mahabusu Mtwara, kimyaa.

Kikosi kazi ajali ya Meli Ukara, Ukerewe kimyaaa.

Kikosi kazi Siasa na uzuiaji katiba mpya fastaaa.
 
Hakuna kituwatachunguza. Mwisho wa siku tutasahau maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom