Haya mambo yana mzizi mrefu na kiukweli yametupotezea njia kabisa. Hivi ushawahi kusikiliza nyimbo za asili za WASAFWA na jinsi wanavyopiga vifaa vyao LIVE ??? Nilishawahi kushuhudia wakiwa wanapita mjini wakiimba, aisee nilishangaa sana jinsi wanavyopiga vyombo pamoja na kupangilia sauti zao. Wanaimba kama yule jamaa anaitwa AWILO MASOX, lakini nashangaa sana kuona aina ile ya muziki haijaendelezwa,.....