Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
1. Nape Nnauye - Hajawahi kuwa msaada kwa watu wake wala Taifa letu. Hajawahi kuwa na mchango wa maana toka awe Mbunge. Tunataka watu wapya waje. Apishe.
2. January Makamba - Huyu yeye aliona sisi tuliomchagua tunachokosa huku Bumbuli ni draft. So akaamua kututengenezea za kutosha na kutugawia. Na alihusika katika upuuzi wa kugawa mitungi ya gesi ilhali bei ya gesi anajua ipi juu. Baada ya kuishiwa gesi hatujaweza tena kununua mitungi imebaki kama mapambo tu.
3. Musukuma - Huyu huwa anaongea pumba tu kila mara hana mchango wa maana katika Bunge
4. Covid 19 -Hawa walipewa Ubunge kwa ajili ya kutetea watu wao ambao ndiyo waliwapa Ubunge sasa wakija kutaka kuteuliwa kugombea tuwakatae.