Pre GE2025 Tuweke hapa majina ya Wabunge ambao tuhakikishe hawarudi baada ya 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Anza kwanza na yule mama .

Yule mkubwa wao kule CCM Akikosa kura automatically wabunge wa ajabu ajabu watafikia mwisho .
 
Hao wote uliowataja watarejea Bungeni kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima. Watapita Bila Kupingwa ndani ya Chama na katika uchaguzi Mkuu . Hakuna Mwana CCM atakaye chukua Fomu ya kuchuana nao ndani ya chama.
 
Babu Tale (incompetent)
Prof Kitila Mkumbo
Musukuma
Tulia Ackson
Nape
Kishimba(Huyu ukimsikiliza vizuri hanaga point ni Comedy tu)
Askofu Gwajima (ameshindwa kuwapeleka vijana Japani)
 
maskini,
kumshinda nape, january au msukuma ni ndoto cha mchana tena ukiwa kwenye daladala ya mbezi-mbagala.

hakyupo mtu anaweza kumshinda yeyote miongoni mwa hao vijana ndani na nje ya ccm kwenye majimbao yao, hata utumie ushirikina wa kikongo au nigeria gentleman
 
Vizuri tuweke ambao watarudi Kwani ni wachache , kama 10%, wengine hawana uhalali WA kurudi
 
Kishimba ana faida gani? Yaani hata wewe unashbikia zile komedi zake?
Hapana hoja zake upande wa elimu huwa namuelewa sn, ni mtu ambaye hakusoma lakini akili ake inafanya kazi vzr sn huwezi kumlindanisha na akina Jafo, Kabudi na takataka zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…