Pre GE2025 Tuweke hapa majina ya Wabunge ambao tuhakikishe hawarudi baada ya 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msukuma japo hajasoma ni bonge moja la mtoa hoja mzuri tu sema alizingua kwenye DP world
 
Hapana hoja zake upande wa elimu huwa namuelewa sn, ni mtu ambaye hakusoma lakini akili ake inafanya kazi vzr sn huwezi kumlindanisha na akina Jafo, Kabudi na takataka zingine
Kishimba ni darasa la saba ila ana hela. Mawazo yake yote anayotoa ni ya kukejeli elimu na waliosoma.

Kama unadhani Kishimba ana tija, nitajie wazo lolote alilotoa na Serikali ikalifuata/ ikalichukua
 
Madiliko ya sera ya elimu alichangia pakubwa sn mpk Rais Samia alimsifia, tuache utani kuwa la saba siyo laana, akina Prof Mkumbo wana faida gani bungeni zaidi ya kugonga meza? Mzee ana madini sn na sijawahi kumuona anasifia ujinga wa serikali
 
Tulia Ackson
 
Nitajie wazo ambalo ni la kwake kwenye hiyo sera ya elimu. Siyo unamshabikia tu kwa vile alisimama na kuongea
 
Kishimba ni darasa la saba ila ana hela. Mawazo yake yote anayotoa ni ya kukejeli elimu na waliosoma.

Kama unadhani Kishimba ana tija, nitajie wazo lolote alilotoa na Serikali ikalifuata/ ikalichukua
Upo sahihi. Kishimba hana mawazo ya maana kielimu. Anataka kuonesha kuwa elimu si kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…