Tuweke kumbukumbu sawa; Lissu alisema hatakuja kugombea

Akiambiwa hajui anachikitaka inakuwa nongwa.
 
Eehe, hoja ni nini sasa..?

Maana sasa amebadili na kusahihisha mawazo yake na ameamua kugombea...

Au umesahau kuwa hata Freeman Mbowe aliapaga mwaka 2015 wakati Lowassa anagombea u - Rais kwamba, CHADEMA isiposhinda anajiuzuru uenyekiti wa CHADEMA..?

Mpaka leo huyo hapo yupo CHADEMA, ameng'ang'nia na anataka mpaka ang'olewe kwa greda....

Unasemaje hapo..?
 
Uwezo wenu wa kiakili ni mdogo. Vichwapanzi mnashindana na genius.

Mheshimiwa Lissu hapo miaka ya nyuma alisema "hajawahi kuwa na ndoto" ya kuwa Mwenyekiti.
Hajawahi kuwa, sio hatowahi kuwa.

Kauli yake hata muda huo anaitoa ilikuwa ni wakati uliopita. Sasa hivi ndoto ya kuwa anayo. Ukisema hujawahi kuwa na ndoto ya kujenga nyumba, haimaanishi hautokaa ujenge nyumba.
Angesema sitowahi kuwa na ndoto ya kuwa M/kiti ndio mgekuwa na hoja.
 
Wamachame punguzeni shobo,hata Sultan Mbowe mwaka 2019 alisema hatagombea tena na amechukua na kurudisha form. Na mwaka 2015 Chadema ilimuandaa Dr. Slaa kuwa mgombea wa Urais lakini dakika za majeruhi Sultan akamleta Lowassa baada ya kudakishwa B 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…