Tuweke maombi yetu wana JF dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji mpaka wahusika wateketezwe

Uponyaji na uzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
1,000
Reaction score
2,141
Silaha zote zitumike, wanaoongea waziwazi, keyboard warriors na wenye imani mbalimbali tuendeleze mapambano.

Hapa tuweke maombi yetu ya kiimani dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji.

Wahusika waharibiwe.
 
Nashusha moto wa maangamizi kwa kila aliyehusika kumwaka damu isivyo halali. Wakaangamie hao pamoja na vizazi vyao vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…