Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Simu zipo nyingiWe taja budget yangu mwisho 2m
Tecno camon 30
Asante kwa kuniwekea siti nimekuja tusome koments pamoja
Ushatumia samsung s24?Hivi unajua Samsung Galaxy S24 Ultra inapitwa kamera na simu nyingi za Kichina? vivo X100 Ultra, vivo X100 Pro, Xiaomi 14 Ultra, Honor Magic 6 Pro, Oppo Find X7 Ultra, etc
Xiaomi 11 ultra.Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe, hakuna simu inayowe beat pixel yenye single camera au double camera sipendi camera nyingi, iwe updated kwenye os at least android 12 up.
Naona Xperia 1v, HMD aura na HMD PULSE PRO
Emu mnipe maarifa
Je ni kweli kwamba Sumsung S series hazikai na chaji?1. Samsung Galaxy S24 version zote.
2. Iphone 15 version zote
3. Samsung Galaxy S23 version zote.
4. Iphone 14 version zote.
5. Latest Google Pixel
5. Mwisho.
Vipi kuhusu chaji?Samsung S series kuanzia S20 ndio ninazoziaminia. Ushauri huu nilipewa na mtaalam mbobezi wa Mambo hayo.
Nisaidie kitu mzee oppo k12 chinese version unaionaje na kwa bei yake nani mpinzani wakeHivi unajua Samsung Galaxy S24 Ultra inapitwa kamera na simu nyingi za Kichina? vivo X100 Ultra, vivo X100 Pro, Xiaomi 14 Ultra, Honor Magic 6 Pro, Oppo Find X7 Ultra, etc
Oppo ana simu za camera kali ila zile zenye neno Find.Nisaidie kitu mzee oppo k12 chinese version unaionaje na kwa bei yake nani mpinzani wake
Lrngo sio kamera matumiz gu ya kawadia unaionajeOppo ana simu za camera kali ila zile zenye neno Find.
Mfano Oppo Find X7 Ultra ina camera ya 50 MP yenye sensor ya 1 inch. Imagine, 1-inch sensor kwenye smartphone
Kwa budget ya ngapi hivi?Lrngo sio kamera matumiz gu ya kawadia unaionaje
Ukipata hiyo K12 iwe ya 8GB itatosha ingawa ata 6GB sio mbaya.Lrngo sio kamera matumiz gu ya kawadia unaionaje
550 naziona pindouUkipata hiyo K12 iwe ya 8GB itatosha ingawa ata 6GB sio mbaya.