Tuweke orodha ya simu zenye kamera nzuri zaidi

Tuweke orodha ya simu zenye kamera nzuri zaidi

Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe, hakuna simu inayowe beat pixel yenye single camera au double camera sipendi camera nyingi, iwe updated kwenye os at least android 12 up.

Naona Xperia 1v, HMD aura na HMD PULSE PRO

Emu mnipe maarifa
Xiaomi 11 ultra.
 
1. Samsung Galaxy S24 version zote.
2. Iphone 15 version zote
3. Samsung Galaxy S23 version zote.
4. Iphone 14 version zote.
5. Latest Google Pixel
5. Mwisho.
Je ni kweli kwamba Sumsung S series hazikai na chaji?
 
Hivi unajua Samsung Galaxy S24 Ultra inapitwa kamera na simu nyingi za Kichina? vivo X100 Ultra, vivo X100 Pro, Xiaomi 14 Ultra, Honor Magic 6 Pro, Oppo Find X7 Ultra, etc
Nisaidie kitu mzee oppo k12 chinese version unaionaje na kwa bei yake nani mpinzani wake
 
Kwa upande wa camera naona wengi mnaongelea experience binafsi ila kuna website ya kupima ubora wa camera za simu na wana rank.
 
Simu tano zenye camera kali hizi hapa:

IMG_0301.jpeg
 
Nisaidie kitu mzee oppo k12 chinese version unaionaje na kwa bei yake nani mpinzani wake
Oppo ana simu za camera kali ila zile zenye neno Find.

Mfano Oppo Find X7 Ultra ina camera ya 50 MP yenye sensor ya 1 inch. Imagine, 1-inch sensor kwenye smartphone
 
Oppo ana simu za camera kali ila zile zenye neno Find.

Mfano Oppo Find X7 Ultra ina camera ya 50 MP yenye sensor ya 1 inch. Imagine, 1-inch sensor kwenye smartphone
Lrngo sio kamera matumiz gu ya kawadia unaionaje
 
Back
Top Bottom