Tuweke rekodi sawa, Kuna bendera ya Taifa duniani inayovutia kama ya Tanganyika?

Tuweke rekodi sawa, Kuna bendera ya Taifa duniani inayovutia kama ya Tanganyika?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Zipo bendera za Taifa duniani zenye kuvutia,

Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika?

Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani .

Nawasilisha,

KaribunišŸ™
1733815763723.png
 
Zipo benera za Taifa duniani zenye kuvutia,

Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika?

Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani .

Nawasilisha,

Karibuni[emoji120]
Pia tuna katiba nzuri kuliko ya nchi yoyote!!!,......akili za watanzania Mungu asaidie tu nikama za vitoto vya chekechea huvutiwa na rangi tu
 
Pia tuna katiba nzuri kuliko ya nchi yoyote!!!,......akili za watanzania Mungu asaidie tu nikama za vitoto vya chekechea huvutiwa na rangi tu
Si RANGI pekee,

Tanganyika ni Nchi nzuri ya kuvutia yenye Kila kitu,

Wewe Kwan mkenya?
 
Sasa uzuri wa bendera una manufaa gani kwako na kwa nchi yako ili hali yanayopatikana ndani yake ni ya kuogofya zaidi?? šŸ˜Ž
 
Sasa uzuri wa bendera una manufaa gani kwako na kwa nchi yako ili hali yanayopatikana ndani yake ni ya kuogofya zaidi?? šŸ˜Ž
Penye riziki, hapakosi fitna.

Tuwafukuze wenye Hila mamlakani Kwa njia za kidemokrasia Ili tufurahie maziwa na asali.
 
Zipo benera za Taifa duniani zenye kuvutia,

Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika?

Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani .

Nawasilisha,

KaribunišŸ™
Long live Tanganyika!!!
 
Hawataki kusikia neno Tanganyika linatamkwa popote pale
Sasa Zanzibar ikiwa aliolewa kwa NDOA halali, iweje Jina la mumewe lisitajwe?

Hata kama ni limbwata, hii imevuka mipaka šŸ¤”
 
Bendera ya Tanganyika inajulikana, wale wanaoiita Tanganyika Tanzania bara waweke picha ya bendera ya Tanzania bara watu waione.
 
Back
Top Bottom