Tuweke rekodi sawa, Kuna bendera ya Taifa duniani inayovutia kama ya Tanganyika?

Tuweke rekodi sawa, Kuna bendera ya Taifa duniani inayovutia kama ya Tanganyika?

Zipo bendera za Taifa duniani zenye kuvutia,

Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika?

Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani .

Nawasilisha,

Karibuni🙏
Ilikuwa, ila kwa sasa hili lichama tawala limeinajisi rangi ya kijani kiasi cha kuiharibia timu ya Yanga.
 
Back
Top Bottom