Tuweke rekodi sawa, Kuna bendera ya Taifa duniani inayovutia kama ya Tanganyika?

Tuweke rekodi sawa, Kuna bendera ya Taifa duniani inayovutia kama ya Tanganyika?

Bendera ya Tanganyika inajulikana, wale wanaoiita Tanganyika Tanzania bara waweke picha ya bendera ya Tanzania bara watu waione.
Kuna bendera ya Zanzibar - ni nzuri kwa watu wa Zanzibar!

Kuna bendera ya Tanzania, lakini huwa hainivutii!!!

Lakini bendera ya Tanganyika ni nzuri kuliko zote!!!

Long live Tanganyika!!!
 
Zipo benera za Taifa duniani zenye kuvutia,

Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika?

Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani .

Nawasilisha,

Karibuni🙏
Tanganyika hili koloni la Zanzibar?
Wapate uhuru kwanza ndiyo tuzingumzie bendera yao hao machogo.
 
Hujaona bendera ya wana upinde wewe ilivyo kali 🤣🤣🤣
 
Zipo benera za Taifa duniani zenye kuvutia,

Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika?

Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani .

Nawasilisha,

Karibuni🙏

Unaweza kutupa vigezo ila tu comment fairly? Maana Mimi siipendi kabisa! Labda nakosea vigezo
 
Zipo benera za Taifa duniani zenye kuvutia,

Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika?

Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani .

Nawasilisha,

Karibuni🙏
Suala la benders ipi nzuri ni suala la mtu binafsi, mtu na mtu. Ww unaiona nzuri, wengine watasema ya marekani , wengine ya uk wengine ya south africa

There is no answer for that
 
Kwan ni Bendera tuu?;
 
Bendera ya Nepal
 
Attachments

  • images-2.jpeg
    images-2.jpeg
    5 KB · Views: 1
Suala la benders ipi nzuri ni suala la mtu binafsi, mtu na mtu. Ww unaiona nzuri, wengine watasema ya marekani , wengine ya uk wengine ya south africa

There is no answer for that
Wewe binafsi unaionaje Bendera ya nchi yetu Tanganyika?
 
ISRAEL ndio inavutia bwashe
Tanganyika, Nyikani,

Ni Israel ya rohoni, ndilo Taifa pekee ambalo litakuwa kimbilio la Dunia Kwa siku zijazo za hatari.

Nakubaliana nawe🙏
 
Zipo bendera za Taifa duniani zenye kuvutia,

Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika?

Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani .

Nawasilisha,

Karibuni🙏
Moderators mmejua kunifurahisha Kwa kuweka bendera ya Tanganyika hapo juu.

Mbarikiwa na ikiwa mna DHAMBI nawaombea zifutwe.

Mbarikiwa.
 
Back
Top Bottom