Ndo majirani wenyewe haoMkuu hao ni majirani au wapangaji wenzio?
Kwa kipi hasa🤔 Mimi sigombani na majirani, Bali wao wanagombana na Mimi.
Ha ha ha umetisha.Kuombaomba vitu vidogovidogo kila mara. Akisikia harufu ya nyama au samaki anakuja mbio na kibakuli chake huku kashikilia dera lake na mkono mmoja
It takes two to tango.🤔 Mimi sigombani na majirani, Bali wao wanagombana na Mimi.
Majirani zangu wawili ni wakorofi sana lakin sijawahi kugombana nao hua nawaacha tuu...
Aisee pole sanaMajirani zangu wawili ni wakorofi sana lakin sijawahi kugombana nao hua nawaacha tuu,
Wakwanza huyu nilipovuta maji kwa gharama zangu kutoka mtaa wa pili na yeye akaombe aunge tela nikakubali kiroho safi , ikafikia kipindi akashindwa kulipa bill akakatiwa maji kwa hasira zake alichukua jembe na kukata ile pipe inayoleta maji home kwamba tukose wote...
Wapili yupo nyuma yangu jamaa ni mkuria mbabe sana, kiburi , fedhuri maruhuni kabisa anaweza kuangua nazi kwake zinakuja kugonga katika bati home na aombi radhi
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hahahaaaaaaaaah nimecheka had nimepaliwaKelele za jenereta umeme ukikatika. Kwann usinunue automatic generator ambalo ni silence.
Twraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Usiku mzima.
Pole mkuu.Hahahaaaaaaaaah nimecheka had nimepaliwa