Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Jirani kanizibia njia ya kupitisha gari langu. Nimetoka asubuhi narudi jioni nakuta bonge la fence ukuta umepanda kozi 6. Tangu siku hiyo sina hamu nae, nikaongea na jirani wa pembeni akaniuzia njia TZS 1,000,000/= ndiko napitisha gari yangu siku hizi. Sasa kuna ujirani hapo
Unapitisha Gari kuna barabara halo au mazoea.
 
Huu nimeupanda miezi sita nyuma.hapa vimetokeza majani wiki hii kwakua nimeshinda hapa karibu nusu Siku kwa wiki nzima
Najua anaumezea mate akate majani yaliyokua na akikata unadumaa.yani haka ka mama badala kaache mchai mchai utoe majani mengi ata ukiuchuma unaendelea kubaki
Hapo nikitoka tu aaaah ntarudi na picha ya utakavoonekana ukikatwa.huyu mama matako ya nyoka kabisaa
View attachment 1734614

Duh mkuu hio ni noma.hapo si watu watajua mi mchawi na hapa wanakuja vijana karibu nane kila Siku kupiga kazi.kuna jirani alinishauri niumwagie Maji ya mchele ili majani yawe na rangi nyeupe kama yametemewa mate yenye dawa ya mswaki....
Hayo maji ya mchele ndoyatamfanya asiung'oe uwo mchaichai

Kingsmann
 
daaah mimi nina jirani ambae ni bora kuishi na ngedere mbwa wale!!nilinunua shamba miaka ya nyuma,tumepakana na yeye akawa shahidi,mwanzoni tulikuwa vizuri na nilikuwa nahifadhi vifaa vyangu vya ujenzi kwake,chokochoko ya kwanza,alijenga banda kwenye eneo langu,nikamuuliza akakiri ataliondoa ni temporary tuu,baada ya muda akaanza kujenga kwa tofali,nikamuuliza akaruka,siku hiyo hiyo nikanunua tofali nikamuachia hatua za ziada nyingine kadhaa nikajenga ukuta,nikaanza kufuga pale kwa ustawi mkubwa tuu,baada ya muda nashangaa mifugo inaibiwa,kufuatilia mishe zote za wizi zinapangiwa kwake,akaanza kushawishi vijana kila anayekuja lazima amvuruge!amenifanyia uovu mwingi sana huyu takataka!yeye na familia yake,mbaya zaidi alikuwa na kacheo kijijini na ndio ametumia kunifanyia uovu,iko siku ataingia timing tuu,nyambaf....yaani najisikia kichefuchefu
 
Jirani kanizibia njia ya kupitisha gari langu. Nimetoka asubuhi narudi jioni nakuta bonge la fence ukuta umepanda kozi 6. Tangu siku hiyo sina hamu nae, nikaongea na jirani wa pembeni akaniuzia njia TZS 1,000,000/= ndiko napitisha gari yangu siku hizi. Sasa kuna ujirani hapo
Hahahahahahah nimecheka...mie jirani yangu jamani namuangalia nabak kusema nhiii!
Wivu wake kwangu nabaki nashangaa anaona wivu mm kuwa na gari ..yaani alishawah niambia kbs ..sasa yeye ana kisima mie nikawa sina kisima..nikaomba niwe nachota maji kwake namlipa mumewe akakubali..few months later akasema usichote maji unamaliza😆😆! Tukaacha! Sasa yeye akiniona natoka na gari anaumiaa..sasa sijui anaumia nn!hata mkienda harusini ukimwambia ntakustua anakuambia nenda tu😆!naskia akikaa na mumewe anamuomba anunue 🚗! Sipendi kumzoea maana anajisemaga kbs yy ni std 3 leaver(ana shombo balaa)uwii nakwepana naye kbs maana anajihami tu muda wote🥵😎😎
 
Nimepakana na Muhaya pamoja na vurugu zote alizonifanyia siku hizi anajifanya mwema kwangu.

Haipiti wiki lazima atagonga hodi kuja kwangu kusalimia namchora tu namuona mshamba wa maisha.
Labda anakuja kutubu! Kaa naye usikie lengo lake
 
Mi jirani yangu ananisumbua kwa kitu kidogooo ila kinanitesa.napenda chai ya mchai chai...kila napo panda mchai chai yeye hua anaukata haukui kabisaa.nimeshajaribu kupanda mchai chai zaidi ya miaka minne haikuii hata kidogo.shida ni kua hata sitawai kumkamata maake ninapotoka kwenda kazini yeye ndo hukata,yani sitawai mushika akiukata.mwaka wa tatu huu sisemeshani nae
Hahahhaahhahahaaha...iliwah nikita nahamia kwangun2017..jiran ana mchai chai nikawa naenda kuomba ananipa .khaaa ikafika kipindi akawaambia wanangu mwambie mama yenu apande wake mbona maua anapanda kila siku🤣🤣..tulicheka..nikapanda wangu...ila sasa ajabu akiishiwa stop ya kwanza kwangu..khaa .namkomoa nampa hela then simdai ..shenji
 
Huu nimeupanda miezi sita nyuma.hapa vimetokeza majani wiki hii kwakua nimeshinda hapa karibu nusu Siku kwa wiki nzima
Najua anaumezea mate akate majani yaliyokua na akikata unadumaa.yani haka ka mama badala kaache mchai mchai utoe majani mengi ata ukiuchuma unaendelea kubaki
Hapo nikitoka tu aaaah ntarudi na picha ya utakavoonekana ukikatwa.huyu mama matako ya nyoka kabisaa
View attachment 1734614

Duh mkuu hio ni noma.hapo si watu watajua mi mchawi na hapa wanakuja vijana karibu nane kila Siku kupiga kazi.kuna jirani alinishauri niumwagie Maji ya mchele ili majani yawe na rangi nyeupe kama yametemewa mate yenye dawa ya mswaki....
Hyo ni ana njaa tu mkuu msamehe bure Mimi nilifikir anaukata na kuacha majan yake kumbe anaenda pikia chai..pesa ya majan inampiga tu chenga
 
Hahahhaahhahahaaha...iliwah nikita nahamia kwangun2017..jiran ana mchai chai nikawa naenda kuomba ananipa .khaaa ikafika kipindi akawaambia wanangu mwambie mama yenu apande wake mbona maua anapanda kila siku[emoji1787][emoji1787]..tulicheka..nikapanda wangu...ila sasa ajabu akiishiwa stop ya kwanza kwangu..khaa .namkomoa nampa hela then simdai ..shenji
Hyo ndio jirani mwema sasa usingeambiwa upande wako mpaka leo ungekua omba omba
 
Hyo ni ana njaa tu mkuu msamehe bure Mimi nilifikir anaukata na kuacha majan yake kumbe anaenda pikia chai..pesa ya majan inampiga tu chenga
Mkuu huu umbao hajaukata imebidi niupande kando ya dirisha LA chumba changu.ninayoipanda sehem zingine anaukata kabisaaaa.awali nilifikiria ni wanae ndo wa wanakataga sa kuna Siku mvua imemaliza kunyesha nikasema nikague mchai chai yangu duuu nikafika nikaona kama imetolewa mda si mrefu maake mvua ikinyesha ardhi si inakua laini.sa alivuta vikawa vimebaki vi shimo tu.watoto wake walikua nje wakati nakagua....nikawauliza kwa kufoka Mani ametoa mchai mchai wangu.mtoto mkubw akajibu sio Mimi....mdogo akaitikia ni mama ndo ametoa.mi najuaga ni huyu mama anatoa sema anapiga kaunta attack mbaya sana yani sijui mtashija lini.hata sii njaa ananikomoa tu
 
Haya
 
Back
Top Bottom