Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

usibishane brother anachoongea ni ya kweli....mimi ni muhaya typically ila nenda kijijini ukashuhudie kesi za mashamba huwa haziishi ni kuibiana na maanisha kuvuka mipaka ya shamba la mtu. hilo sio geni kwangu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Noma sana
 
Jirani hachaguliwi, utaenda utanunua plot baadae anakuja mtu ananunua pembeni yako, halafu ndio anakua kizungumkuti kila siku seke seke.
Ukiwa na pesa unanunua eneo kubwa halafu unazungusha barabara
 
Back
Top Bottom