Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Unaweza kuonekana unaleta ukabila lakini kwa tulio-experience contact na Hili kabila tutakubaliana na wewe 99%. Nina visa vingi Lakini ngoja nieleze mojawapo:

Kulikuwa na rafiki yangu wa kichaga tulimaliza naye kidato Cha sita yeye akaendelea na Chuo mwaka huo lakini Mimi sikujiunga na Chuo mwaka huo kutokana na changamoto za kiuchumi(nilikosa mkopo wa HESLB). Sasa Mimi msimu wa mvua nilijikita kwenye kilimo. Sasa kwa kuwa bado tulikuwa tunawasiliana, nilimwambia Kuna shamba la familia ambalo sitaweza kulima lote msimu huu kwahiyo Kama una ndugu yako ana mtaji aje alime bure sitamkodishia. Akasema yeye ana mtaji kwahiyo atalima. Nilimsisitiza kwamba kilimo kina changamoto nyingi, Kunahitajika uangalizi wa karibu na siyo kupiga simu na binafsi sitakuwa tayari kupokea mtaji wako wa kilimo Ukiwa mbali alafu uwe unanipigia simu kujua maendeleo ya shamba. Alinibembeleza Sana Hadi nikaona ngoja tu nikubali huyu rafiki yangu asije akaniona namuonea wivu kwa kuwa yeye amefanikiwa kujiunga na Chuo Mimi nikashindwa mwaka huo.

Nilikubali kwa sharti kwamba nitalima na kuotesha, yeye aje asimamie palizi ya kwanza na msimu wa mavuno atakuja Tena, akakubali.
Kwa kuwa shamba ni Safi hakukuwa na gharama za usafishaji, hivyo tulikubaliana tarehe ya kutuma gharama za trekta.

Siku tuliyokubaliana kutuma gharama za trekta, nilishangaa alituma kwa M-pesa bila gharama za kutolea na nilishamwambia kuwa ekari 3 kwa trekta gharama ni 120,000 yeye akatuma 120,000 net bila ya kutolea. Nilimpigia nikàmwambia atume gharama za kutolea Ela maana kesho asubuhi trekta litaenda shamba lakini hakutuma. Usiku huo mama yangu mzazi alikuwa na homa Kali na hakukuwa na mtu mwingine zaidi yangu, hivyo asubuhi nilimpeleka hospital. Mchana jamaa ananipigia simu kuniuliza kama nilifanikiwa kupeleka trekta shambani. Jilimjibu kwamba sikupeleka trekta shambani kwa sababu mama ana homa Kali na tumedamkia hospital na Hadi tunavyoongea tupo hospital tunasubiri majibu ya vipimo. Jamaa alikuja juu Sana na kuanza kunishambulia kwa maneno makali.

Ndugu msomaji Kumbuka kwamba:
1. Mimi penkee ndiye Nilikuwa naishi na mama pale nyumbani hivyo hakukuwa na namna ya kukwepa kumpeleka hospital. Huyo ni mzazi wangu wa pekee niliye naye kwani baba yangu alishafariki Tangu nikiwa na miezi minne (manake Hata Leo simkumbuki baba kwa sura zaidi ya kuonyeshwa picture yake)

2. Huyu jamaa anayenilaumu alituma Pesa za kilimo bila ya gharama za kutolea. Alitarajia nitoe kwa gharama zangu wakati shamba analima bure simkodishii!

3. Sikugusa Pesa zake kwenye matibabu ya mama. Hata sikuzitoa kwenye simu kwani nilikuwa navuta subra Kama atatuma gharama za kutolea, badala yake anakuja kunipigia simu saa sita mchana kutaka kujua maendeleo ya trekta shambani.

Nilipoona jamaa hana nidhamu Wala utu nilimwacha amalize kunipigia kelele zake avyokata simu, Mimi fasta nikapiga Ile menu ya M-pesa nikamrudishia Pesa zake. Sasa Kama mnavyojua ilinibidi nimtumie 119,000 badala ya 120,000 kwa sababu Ela cash haiwezi kumfikia kwa sababu ya gharama za kutuma. Baada ya hapo kwa hasira nikazima simu kwa muda. baadae kuja kuwasha simu nikakuta SMS zaidi ya 10 zenye lugha za kuudhi na kuniita Mimi tapel na ndiyo ukawa mwisho wa urafiki wetu.

Visa ni vingi, kuna aliyekimbia na Mini laptop yangu, mwingine kaniibia begi lenye notebook mpya 6, charger ya simu na earphones [emoji442], mwingine nilipigana naye kwenye coaster kwa kunilazimisha nilipe Ela Mara mbili wakati nilishamlipa na Nina uhakika anakumbuka, na wengine wengi niloshuhudia vituko vyao....woote hao ni Wachaga.

Kwenye maandiko matakatifu ilipaswa kuandikwa ishini na wake zenu kwa akili,na Wachaga muishi nao kwa uangalifu mkubwa Kama mfanyavyo mnaponyoa nywele sehemu za siri kwa wembe mkali. Wachaga ni shida
[emoji23][emoji23][emoji23].....

nimejikuta nacheka sana,hawa jamaa inahitajika umakini mkubwa wa kucheza nao kwa akili..huwa wanaangalia maslahi zaidi + kutapeli.
Kwenye hela ni watu wengine,hawachezei furksa wakishazoea watakupiga hadi ubaki maskini..japo kuna wengine ni wapigaji wazuri huku wanaongeza mtaji.

Kuna wazee flani kilema huko nilikuwa natafuta kiwanja waniuzie ila hawatoi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23].....

nimejikuta nacheka sana,hawa jamaa inahitajika umakini mkubwa wa kucheza nao kwa akili..huwa wanaangalia maslahi zaidi + kutapeli.
Kwenye hela ni watu wengine,hawachezei furksa wakishazoea watakupiga hadi ubaki maskini..japo kuna wengine ni wapigaji wazuri huku wanaongeza mtaji.

Kuna wazee flani kilema huko nilikuwa natafuta kiwanja waniuzie ila hawatoi.
I'm failing to get a simpler definition of 'Wachaga' without insulting them. Niishie hapo tu. Nikiwaelezea Sana nitapigwa bann ya milele[emoji28]
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa bahati mbaya jirani hana option. Atakayekuwepo karibu ndiye atakuwa jirani. Au Kama Kuna namna ya ku opt tuwekee Hapa.
Nunua viwanja vyote vya karibu halafu zungusha barabara kuzunguka kwako ili upakane na njia pande zote nne!
 
Wahaya tumetulia asee, hatuna Mambo hayo. Mimi nipo mahali miaka ya teenage na Sina ugomvi na majirani. Hata wahaya ninaowafaham hapa mjini hawana ugomvi na majirani zao, wanashirikiana vizuuri
usibishane brother anachoongea ni ya kweli....mimi ni muhaya typically ila nenda kijijini ukashuhudie kesi za mashamba huwa haziishi ni kuibiana na maanisha kuvuka mipaka ya shamba la mtu. hilo sio geni kwangu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom