Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,918
Wangari kakukosea nini Mkuu.Kama kawaida yako, hela unazo wewe, huruma unazo wewe, maisha unayo wewe [emoji1][emoji1][emoji1] SN.BARRY mtaa umetulea piteni huku
Why all this hate ?
Wangari kakukosea nini Mkuu.Kama kawaida yako, hela unazo wewe, huruma unazo wewe, maisha unayo wewe [emoji1][emoji1][emoji1] SN.BARRY mtaa umetulea piteni huku
Majilani punguzeni hasira? Yaani humuhumu mmelianzisha! So poa!Umeunga tela[emoji16][emoji16]
Hawa majirani noma sana yaan humuhumu varangati wamelianzishaWangari kakukosea nini Mkuu.
Why all this hate ?
kipindi mimi bachela mke wake alikuwa akijipitisha sana ktk maskani yangu,hivyo basi mimi nikagusanisa hasi na chanya,from that moment till now ni mnuno wa aina yakeKuna watu hawapendi ujirani wa amani kabisa. Na kundi hili la majirani wagomvi ni kubwa sana kuliko tudhaniavyo!
Binafsi ugomvi mkubwa na jirani yangu ilikuwa ni kwenye kununua Umeme. Huyo umeme ukiisha tu alikuwa hawashi taa na hapandishi mapazia anajifungia kimya!
Tulikalishwa vikao hadi vya mjumbe lakini wapi! Ikabidi nihamie nyumba nyingine! Huku nako nilikutana na mama mmoja jirani mchafu hatari, watoto wake walikuwa wanajisaidia kwenye corridor! Halafu hajali wala nini, ukiweka kanyagio la kufutia miguu ukitoka baadae unarudi unakuta wamelichukua wao kufutia miguu!
Nikadhani mtu aliyejenga hana kero ya ugomvi na majirani kumbe huku ndiko kuna balaa zaidi! Huku nako kuna watata vilevile, usipoangalia unaweza pata presha. Wapo majirani mabingwa wa kusogeza mipaka ya viwanja! Huu ugomvi ni mwingi sana umeharibu mahusiano ya majirani wengi sana!
Wapo pia majirani wanaojenga hadi kiwanja wanamaliza halafu paa la nyumba linamwaga maji kwa jirani ilimradi tu wawakere!
Yote tisa, wapo majirani wafugaji wenye mifugo inayoharibu mali za jirani yake na wala hawajali.
Nisiseme mengi. Leo Naomba tushirikishane, ni mgogoro gani hasa ulionao wewe na jirani yako hapo?
Unadhan mtu mwenye mishe zake anafatilia maisha ya watu! Hakunaga mkuu....usipende kuumia kwa vitu minor kama hiv mkuu...nafsi yangu naijua mwenyewe ww tulia fanya mambo yako tu again pole sana!....Unaona
😀😀 kisa tu nimesema roho yangu dhaifu inapikuja suala la kusaidia ...achana naye mkuuWangari kakukosea nini Mkuu.
Why all this hate ?
[emoji16][emoji16]Majilani punguzeni hasira? Yaani humuhumu mmelianzisha! So poa!
Unaweza kufikiri nakufuatilia au naumia na maisha yakoUnadhan mtu mwenye mishe zake anafatilia maisha ya watu! Hakunaga mkuu....usipende kuumia kwa vitu minor kama hiv mkuu...nafsi yangu naijua mwenyewe ww tulia fanya mambo yako tu again pole sana!....
Sasa kipi kinakusibu kuumia na comments zangu??...kifupi kuna maisha kila mtu anataman kuwa nayo esp mwanamke..( hata kuwa na 10000 kama hujawahj ishika ni hatua).ajabu Mungu ananijaalia ninayo hayo maisha....kafie mbele...Unaweza kufikiri nakufuatilia au naumia na maisha yako
Anyway wacha nimalize hii
Kufa utafia mbele wewe muuza nyuchi, hayo ya kuumia na maisha yako umeyasema wewe mimi nimekupa mfano tu wa moja la msingi ulilonichukiza naloSasa kipi kinakusibu kuumia na comments zangu??...kifupi kuna maisha kila mtu anataman kuwa nayo esp mwanamke..( hata kuwa na 10000 kama hujawahj ishika ni hatua).ajabu Mungu ananijaalia ninayo hayo maisha....kafie mbele...
Ndiyo..nikakuuliza sasanunatakaje..yes nilimuua mm...! Nna raha ajabu..kingine?Kufa utafia mbele wewe muuza nyuchi, hayo ya kuumia na maisha yako umeyasema wewe mimi nimekupa mfano tu wa moja la msingi ulilonichukiza nalo
Kusababisha Mpauko afariki, iwe ulimuua au ulisababisha vyovyote mimi iliniudhi
Majisifu ya kujifanya unaweza kumbe huwezi ndio sababu ya kifo cha yule dogo
Hakuna kingine...roho yangu imesuuzika kukuchanaNdiyo..nikakuuliza sasanunatakaje..yes nilimuua mm...! Nna raha ajabu..kingine?
Sawa sawa kbs...Hakuna kingine...roho yangu imesuuzika kukuchana
[emoji2][emoji23][emoji23]Haswa wachaga..wana vijitabia vya kusogeza mipaka sanaUsiombe upakane na mchaga au mhaya, mtagombania ardhi mpaka ahakikishe unaondoka duniani
Huyu wangari amehusikaje na hiko kifo??Kufa utafia mbele wewe muuza nyuchi, hayo ya kuumia na maisha yako umeyasema wewe mimi nimekupa mfano tu wa moja la msingi ulilonichukiza nalo
Kusababisha Mpauko afariki, iwe ulimuua au ulisababisha vyovyote mimi iliniudhi
Majisifu ya kujifanya unaweza kumbe huwezi ndio sababu ya kifo cha yule dogo
Anajua yeyeHuyu wangari amehusikaje na hiko kifo??
Basi kuna mchaga kukwepesha msala akaondoa wachaga akatuweka wanyakyusaUnaweza kuonekana unaleta ukabila lakini kwa tulio-experience contact na Hili kabila tutakubaliana na wewe 99%. Nina visa vingi Lakini ngoja nieleze mojawapo:
Kulikuwa na rafiki yangu wa kichaga tulimaliza naye kidato Cha sita yeye akaendelea na Chuo mwaka huo lakini Mimi sikujiunga na Chuo mwaka huo kutokana na changamoto za kiuchumi(nilikosa mkopo wa HESLB). Sasa Mimi msimu wa mvua nilijikita kwenye kilimo. Sasa kwa kuwa bado tulikuwa tunawasiliana, nilimwambia Kuna shamba la familia ambalo sitaweza kulima lote msimu huu kwahiyo Kama una ndugu yako ana mtaji aje alime bure sitamkodishia. Akasema yeye ana mtaji kwahiyo atalima. Nilimsisitiza kwamba kilimo kina changamoto nyingi, Kunahitajika uangalizi wa karibu na siyo kupiga simu na binafsi sitakuwa tayari kupokea mtaji wako wa kilimo Ukiwa mbali alafu uwe unanipigia simu kujua maendeleo ya shamba. Alinibembeleza Sana Hadi nikaona ngoja tu nikubali huyu rafiki yangu asije akaniona namuonea wivu kwa kuwa yeye amefanikiwa kujiunga na Chuo Mimi nikashindwa mwaka huo.
Nilikubali kwa sharti kwamba nitalima na kuotesha, yeye aje asimamie palizi ya kwanza na msimu wa mavuno atakuja Tena, akakubali.
Kwa kuwa shamba ni Safi hakukuwa na gharama za usafishaji, hivyo tulikubaliana tarehe ya kutuma gharama za trekta.
Siku tuliyokubaliana kutuma gharama za trekta, nilishangaa alituma kwa M-pesa bila gharama za kutolea na nilishamwambia kuwa ekari 3 kwa trekta gharama ni 120,000 yeye akatuma 120,000 net bila ya kutolea. Nilimpigia nikàmwambia atume gharama za kutolea Ela maana kesho asubuhi trekta litaenda shamba lakini hakutuma. Usiku huo mama yangu mzazi alikuwa na homa Kali na hakukuwa na mtu mwingine zaidi yangu, hivyo asubuhi nilimpeleka hospital. Mchana jamaa ananipigia simu kuniuliza kama nilifanikiwa kupeleka trekta shambani. Jilimjibu kwamba sikupeleka trekta shambani kwa sababu mama ana homa Kali na tumedamkia hospital na Hadi tunavyoongea tupo hospital tunasubiri majibu ya vipimo. Jamaa alikuja juu Sana na kuanza kunishambulia kwa maneno makali.
Ndugu msomaji Kumbuka kwamba:
1. Mimi penkee ndiye Nilikuwa naishi na mama pale nyumbani hivyo hakukuwa na namna ya kukwepa kumpeleka hospital. Huyo ni mzazi wangu wa pekee niliye naye kwani baba yangu alishafariki Tangu nikiwa na miezi minne (manake Hata Leo simkumbuki baba kwa sura zaidi ya kuonyeshwa picture yake)
2. Huyu jamaa anayenilaumu alituma Pesa za kilimo bila ya gharama za kutolea. Alitarajia nitoe kwa gharama zangu wakati shamba analima bure simkodishii!
3. Sikugusa Pesa zake kwenye matibabu ya mama. Hata sikuzitoa kwenye simu kwani nilikuwa navuta subra Kama atatuma gharama za kutolea, badala yake anakuja kunipigia simu saa sita mchana kutaka kujua maendeleo ya trekta shambani.
Nilipoona jamaa hana nidhamu Wala utu nilimwacha amalize kunipigia kelele zake avyokata simu, Mimi fasta nikapiga Ile menu ya M-pesa nikamrudishia Pesa zake. Sasa Kama mnavyojua ilinibidi nimtumie 119,000 badala ya 120,000 kwa sababu Ela cash haiwezi kumfikia kwa sababu ya gharama za kutuma. Baada ya hapo kwa hasira nikazima simu kwa muda. baadae kuja kuwasha simu nikakuta SMS zaidi ya 10 zenye lugha za kuudhi na kuniita Mimi tapel na ndiyo ukawa mwisho wa urafiki wetu.
Visa ni vingi, kuna aliyekimbia na Mini laptop yangu, mwingine kaniibia begi lenye notebook mpya 6, charger ya simu na earphones [emoji442], mwingine nilipigana naye kwenye coaster kwa kunilazimisha nilipe Ela Mara mbili wakati nilishamlipa na Nina uhakika anakumbuka, na wengine wengi niloshuhudia vituko vyao....woote hao ni Wachaga.
Kwenye maandiko matakatifu ilipaswa kuandikwa ishini na wake zenu kwa akili,na Wachaga muishi nao kwa uangalifu mkubwa Kama mfanyavyo mnaponyoa nywele sehemu za siri kwa wembe mkali. Wachaga ni shida
[emoji3516]Hii thread ni vizuri ikatengenezewa television series ya vichekesho. Iitwe jirani. Itakuwa poa sana.