Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Muda mwingine upole unatuponza. Ubabe Ni muhimu. "The great question of the day will not be settled by means of speeches and majority decision but by iron and blood".
Hiyo siyo kusolve question sasa, labda kudestroy question
 
Mtoa mada unajua maana ya jirani.tofautisha mpangaji mwenzio na jirani
 
Jirani kanizibia njia ya kupitisha gari langu. Nimetoka asubuhi narudi jioni nakuta bonge la fence ukuta umepanda kozi 6. Tangu siku hiyo sina hamu nae, nikaongea na jirani wa pembeni akaniuzia njia TZS 1,000,000/= ndiko napitisha gari yangu siku hizi. Sasa kuna ujirani hapo
Hilo jirani lako kama langu kabisa...ila watu wana maroho aseee [emoji134][emoji134]
 
Bad enough unaweza kuchagua marafiki unaowataka lakini jirani unapangwa na Mungu, usiombe kupangiwa na kichomi utajuta.
Sikia kwa wenzako usiombe yakukute, kuna majirani visirani acha kabisa.
Ebu simulia japo kidogo mambo yako
 
Back
Top Bottom