Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Mkuu yangu ni yangu tu.Ebu simulia japo kidogo mambo yako
Mkuu yangu ni yangu tu.Ebu simulia japo kidogo mambo yako
Chanzo cha yote ni hayo mazoea ya mwanzoni, mazoea ni mabaya sanadaaah mimi nina jirani ambae ni bora kuishi na ngedere mbwa wale!!nilinunua shamba miaka ya nyuma,tumepakana na yeye akawa shahidi,mwanzoni tulikuwa vizuri na nilikuwa nahifadhi vifaa vyangu vya ujenzi kwake,chokochoko ya kwanza,alijenga banda kwenye eneo langu,nikamuuliza akakiri ataliondoa ni temporary tuu,baada ya muda akaanza kujenga kwa tofali,nikamuuliza akaruka,siku hiyo hiyo nikanunua tofali nikamuachia hatua za ziada nyingine kadhaa nikajenga ukuta,nikaanza kufuga pale kwa ustawi mkubwa tuu,baada ya muda nashangaa mifugo inaibiwa,kufuatilia mishe zote za wizi zinapangiwa kwake,akaanza kushawishi vijana kila anayekuja lazima amvuruge!amenifanyia uovu mwingi sana huyu takataka!yeye na familia yake,mbaya zaidi alikuwa na kacheo kijijini na ndio ametumia kunifanyia uovu,iko siku ataingia timing tuu,nyambaf....yaani najisikia kichefuchefu
Ziba mkuuu acha undeziWakati nanunua kiwanja,huyujirani alikuwepo na muuzaji akaniambia njia hiihapa kwa jirani nayeye yupo hapohapo anasikia.
Ila palikuwa na shimo kwenye eneo alilo nionyesha njia.
Jirani kwa kauliyake akaniambia nifukie shimo nipate njia nikaagiza roli la kifusi nikafukia shimo.
Nikampa na pesa kama laki na sabini hivi mana alikuwa kama hatakiela anajifanya ni ujurani mwema.
Baada ya miaka kama miili akauza kiwanja eneo la mpakani kwenye njia, aliemuzia akajenga mbaka akamaliza njia, wife akanipigia cm nikiwa kazini akaniambia njia inazibwa sikuamini.
Nikaomba ruhusa fasta kufika home nakutakweli mafundi wapo kozi ya nne.
Daaah jasho likanitoka nikamuita jamaa pale kwenye ujenzi na mnunuzi akiwepo nikamuuliza vp jirani mbona unazibanjiatena.
Akasema alisahau kumuambia aliemuuzia kwamba aache njia.
Mwisho wakakubali kuniachia kama futi 5 hivi kwa masharti kwamba niwalipe mafundi kuvunja ukutauliozidi, ninunue sement na kulipa mafundi kujenga upya nikalipa pesa tena waka vunja.
Baada ya miezi kadhaa tena huyu jirani alienunua akapanda mnazi na mpapai kwenye njia.
Yani siwezi kuelezaninavyo wachukia hawa jamaa.
Nikaamua kununua kiwanja kingine nakujenga sasa nasubiri umeme tu nihamie huko mana hapa gari haiingii.
Upande mwingine kwenye mpaka kuna kinjia kidogo ambacho nirahisi kufika maeneo ya madukani na hospitali, chaajabu wao wanapita kilasiku kwenye njia niliyoacha mimi hapa kwangu najiuliza sipatijibu.
Mchaichai huwaga unaleta shida sehemu nyingi sana.. Mama mwenye nyumba tulipopanga aliung'oa kabisa yani kisa sisi tulikuwa tunachuma.Hahahhaahhahahaaha...iliwah nikita nahamia kwangun2017..jiran ana mchai chai nikawa naenda kuomba ananipa .khaaa ikafika kipindi akawaambia wanangu mwambie mama yenu apande wake mbona maua anapanda kila siku[emoji1787][emoji1787]..tulicheka..nikapanda wangu...ila sasa ajabu akiishiwa stop ya kwanza kwangu..khaa .namkomoa nampa hela then simdai ..shenji
Hahah wakati wewe unaumia wao hata hawajaliChanzo cha yote ni hayo mazoea ya mwanzoni, mazoea ni mabaya sana
Wee jamaa hii chai walahi...[emoji23][emoji23][emoji23]Namuona jirani anaongea na mke wake, baada ya dk 5 mke anakuja nyumbani kaingia ndani anaomba jembe, mara naona mme wake akiongozana na kundi la wajumbe na wazee wanaingia ndani wanasema wanahisi nimemuweka mke wa jamaa kimada,, nikawaambia si kweli wakasema ngoja tusachi kama kweli, kuingia chumbani wakamkuta kalala kitandani, wanamuamsha anakoroma tu baadae ndo anaamka anajinyooshaaa hajielewi
Labda kwasababu wasioshiriki kuutunza ndo watumiaji wakubwa kuliko aliyepandaMchaichai huwaga unaleta shida sehemu nyingi sana.. Mama mwenye nyumba tulipopanga aliung'oa kabisa yani kisa sisi tulikuwa tunachuma.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hahahaa..bas mm nimeumbwa tofauti sana jaman...nakubali kabisa.....Mchaichai huwaga unaleta shida sehemu nyingi sana.. Mama mwenye nyumba tulipopanga aliung'oa kabisa yani kisa sisi tulikuwa tunachuma.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Uwiii...hahaa..huogopMambo ya kikubwa wee acha tu...
😀😀😀
Yah mwanzoni hata mimi kabla sijahamia nilijenga mazoea na wao kumbe wao wananilia timing wasinipe bara bara,,nawaambia bara bara yangu Vip blah blah kibao,Chanzo cha yote ni hayo mazoea ya mwanzoni, mazoea ni mabaya sana
Mmmhhh ebu ongezea nyama! Ulivunja nyumba ya mtuYah mwanzoni hata mimi kabla sijahamia nilijenga mazoea na wao kumbe wao wananilia timing wasinipe bara bara,,nawaambia bara bara yangu Vip blah blah kibao,
Kumbe walikuwa wanasikia Habari zangu kuwa huyu mtu ni kichaa hiyo siku ndo waliamini, mtaa mzima ulijazana,
Moja ya nyumba yake ilivunjwa nikapewa bara bara yangu, tangu hapo kila mtu anamuheshimu mwenzie na tumekuwa familia moja,
Wapo na yanafanyika bila chengaTunavyoongea Kuna watu hata ni majirani na wanafanya haya yanayolalamikiwa
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Kweli wewe mbeba lawamanililewa kwakua milango yetu inafata nkajkuta nmelala seblen kwake et akamaind mpaka leo atusemeshan nangoja mkesha wa pasaka nilewe nkanye mlangon kwake