Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Huu nimeupanda miezi sita nyuma.hapa vimetokeza majani wiki hii kwakua nimeshinda hapa karibu nusu Siku kwa wiki nzima
Najua anaumezea mate akate majani yaliyokua na akikata unadumaa.yani haka ka mama badala kaache mchai mchai utoe majani mengi ata ukiuchuma unaendelea kubaki
Hapo nikitoka tu aaaah ntarudi na picha ya utakavoonekana ukikatwa.huyu mama matako ya nyoka kabisaa
View attachment 1734614

Duh mkuu hio ni noma.hapo si watu watajua mi mchawi na hapa wanakuja vijana karibu nane kila Siku kupiga kazi.kuna jirani alinishauri niumwagie Maji ya mchele ili majani yawe na rangi nyeupe kama yametemewa mate yenye dawa ya mswaki....
Ha ha ha ha h aha umenichekesha Sana, huyo mama na mchaichai. Hij nchi ngumu Sana
Kwamba anakuonea wivu Hadi kwenye mchaichai
 
Hahahhaahhahahaaha...iliwah nikita nahamia kwangun2017..jiran ana mchai chai nikawa naenda kuomba ananipa .khaaa ikafika kipindi akawaambia wanangu mwambie mama yenu apande wake mbona maua anapanda kila siku🤣🤣..tulicheka..nikapanda wangu...ila sasa ajabu akiishiwa stop ya kwanza kwangu..khaa .namkomoa nampa hela then simdai ..shenji
Haaaaa Haaaaa 😂 shost mi nna michai chai hadi watu wa sokoni hufuata lakini maua ndo sina kabisaaaa, huo muda mi sina wa kuotesha maua
 
Kiwanja changu ni cha kati kati, Leo naenda kusogeza mpaka kama mita 4, ni njia imeachwa loose maana wenye viwanja vya juu wameifunga njia,...sijui itakuwaje huko mbeleni..!
Sasa itakuwaje baadae msije kutumiana uchawi
 
Kuna jirani yangu mmoja hadi sasa alishasogeza kama Mita mbili kwenye eneo langu, nilichofanya nikamuuliza anadhani mpaka unaishia wapi kanielekeza namimi nikapanda mchongoma, cha ajabu mchongoma pia kauhamishia mbele kabisa 😀😀😀. Ubinadamu kazi aiseee
Jirani yangu wa upande mwingine alikula kama futi mbili kwangu halafu kajenga kuanzia hapo! Nikamfahisha kosa lake nikachuna,baadae akaanza kujenga tena usawa ule ule. Nikamwambia nimekuachia mwanzo sasa umehalalisha nitabomoa majengo yote la zamani na hili jipya rudi nyuma jengo jipya usijenge ndani tena. Akatii. Kesho yake nikanunua matofali nikajenga ukuta nusu futi kutoka jengo lake hata paka hapiti.
 
Haaaaa Haaaaa 😂 shost mi nna michai chai hadi watu wa sokoni hufuata lakini maua ndo sina kabisaaaa, huo muda mi sina wa kuotesha maua
😅😅..niliwah kwenda moshi mbona nilidata na maua...yaan nilisafiri na maua utanionea hurum..yaan kwangu mark ya kwanza wanapaita kwenye nyumba yenye maua mengi..napenda maua had naumwa.

Yananicost balaa
 
Hao mademu ni wezi wanakufanyia kusudi ili uingie kumi na nane zao hawana haya hao na wewe usiende kungoa positive kisa wao
sijajenga, nimeamia mtaa mpya
nimepanga, sijaoa, sina demu...na majirani zangu wawili ni wa kike wananipenda maana ni mimi mwanaume mwenyewe tu hapa (wakipika wananiletea msosi japo tunaonana usiku tu), shida ni hawajaolewa ila wana masela zao, tatizo ni makelele usiku wakiwa wanadinyana taabu yote napata mimi full kupiga nyeto...

shabaaaash, ngoja nitafute manzi na mimi nimpelekee moto nirudishe mashambulizi.

opondo ja shirati...
 
Me jirani yangu yeye.
Siku akiamka vizuri.Atawasalimia,
Siku hajisiki atanuna hata mwezi mzima.
Na akiumwaa anataka mmnyenyekee saa 8 za usiku mmpeleke hospital1.
Sijisumbuagi mimi.
.kuna mmama mtu mzima anamtukanaaa ww matusi ya nguoni.siku utaona tena anaamka anampeleka hospital.
Me hapana kwa kweli.
 
Jirani kanizibia njia ya kupitisha gari langu. Nimetoka asubuhi narudi jioni nakuta bonge la fence ukuta umepanda kozi 6. Tangu siku hiyo sina hamu nae, nikaongea na jirani wa pembeni akaniuzia njia TZS 1,000,000/= ndiko napitisha gari yangu siku hizi. Sasa kuna ujirani hapo
Polesanaa
 
Mimi mtaani nilikuwa wa mwisho kujenga. Majirani wakamaliza viwanja vyao vyote wakawa wanatumia kiwanja changu kama njia. Yaani njia kiungo kama pale jangwani ukiziba watu inabidi wazunguke Kigogo au kinondoni.
Nilipoanza kujenga kila mtu anasubiri hatima ya barabara 'yao' wengine washaanza kutangaza barabara inafungwa.
Nilimaliza kujenga nikaacha njia kama Mita 4 hivi kifupi nilimega kiwanja changu kama sqm kama 100.
Sasa jamaa wa upande ule nilioacha barabara akaanza kujenga fremu nikamwambia hapo unajenga fremu unaweka milango kwenye eneo langu(barabara nilioacha) usijenge. Jamaa hakusikia. Nikamwambia ukimaliza kujenga naweka ukuta kwenye eneo langu tusilaumiane. Nikamtaarifu mjumbe nitakachofanya. Jamaa akaacha akajenga mbele ya nyumba yake. Mpaka leo haongei na mimi kanipunguzia watu wapuuzi wa kuwasalimia.
Sasa ukipata shida na yeye yupo karibu inakuwaje?
 
😅😅..niliwah kwenda moshi mbona nilidata na maua...yaan nilisafiri na maua utanionea hurum..yaan kwangu mark ya kwanza wanapaita kwenye nyumba yenye maua mengi..napenda maua had naumwa.

Yananicost balaa
Duh. Natamani sana nikuige my wangu 😘
 
Jiran nilimruhusu aje ghetto awe anachek mechi kistaarabu tu siku zilivyozid kwenda akawa hana adabu siku nyingine anakaa kwenye kochi yangu anaweka miguu yake michafu kwenye kochi zangu, akaona haitoshi akaanza kualika na marafik zake wengne had Leo hii gheto kwangu ikifika siku ya mechi wanajaa kama banda la video alaf wao ndo wanashika remote...
ila sijagombana nao nimeamua nitulie tu na roho yangu ya kiume sitak ugomv kisa vitu vdogo
 
Kuna jirani yangu mmoja hadi sasa alishasogeza kama Mita mbili kwenye eneo langu, nilichofanya nikamuuliza anadhani mpaka unaishia wapi kanielekeza namimi nikapanda mchongoma, cha ajabu mchongoma pia kauhamishia mbele kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]. Ubinadamu kazi aiseee
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kabila gani huyo?
 
Back
Top Bottom