Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Nakupa mbinu, tafuta zile shanga za waganga halafu panda huo mchaichai, zungusha vijiti vya miti pembeni au tairi kuulinda then weka shanga hiyo na pia tengeneza kipande cha nguo nyeusi iwe kama hirizi nyeusi then itundike hapo pembeni!
Wakati wa kupanda huo chaichai upande usiku!
Huo lazima ustawi
Huu ushauri ni mbaya...huku uswahilini ukibip wanapiga...
Kuna mganga katoka tanga kaja kuagua akakaa baada ya wiki akalazwa nje...hahaaa akatangaza kuwa wamuache wanamharibia soko anatafuta maisha na anamtoto mdogo Saa hivi yupo kiroho safi hasumbuliwi
 
Wanapigaje namba not richabo
 
Jiran nilimruhusu aje ghetto awe anachek mechi kistaarabu tu siku zilivyozid kwenda akawa hana adabu siku nyingine anakaa kwenye kochi yangu anaweka miguu yake michafu kwenye kochi zangu, akaona haitoshi akaanza kualika na marafik zake wengne had Leo hii gheto kwangu ikifika siku ya mechi wanajaa kama banda la video alaf wao ndo wanashika remote...
ila sijagombana nao nimeamua nitulie tu na roho yangu ya kiume sitak ugomv kisa vitu vdogo
[emoji23][emoji23][emoji23]Me nsingeweza aisee namchana ukweli.

Kingsmann
 
Shida kubwa kama Una kiwanja kikubwa ukuta unakula matofali yanayoweza kujenga boma zima hapo ndio unaona hapana ukuta baadae.
Ebwanaee, hapo nimesizi na hilo likiwanja ni likubwa kwelikweli...mpaka hapo sitaweza[emoji1751]

Kwahiyo kitakachonisaidia nisiibiwe mipaka kwa haraka haraka nifanyeje?
 
Mimi nilikosea nikajenga nyumba nzuri mahali penye nyumba zimechoka aisee acha kabisa, walinichukia hadi watoto wangu nikaanza kutembeza ubabe ile ndo ilikua pona pona yangu.
Duh! Story yako Kama yangu mkuu Mimi imezidi kidogo tuu.
Kilichozidi majirani wa pande 3 za mji wangu waling'oa alama za upimaji wakajimegegea eneo langu kabla Sijajenga uzio mwingine kachimba bonge ya karo, mwingine kajenga choo mwingine mabanda ya kuku.
Nilicho wafanya hawata sahau!
 
Sqm 400 viwanja vya Sinza siku hizi kiwanja kidogo ni sqm 800
Yote tisa uzio ni muhimu sana, hizo sqm 800 unaweza kuanza na tofali 2000 ukamalizia na 2000 zingine , mi nilipoanza kujenga walisema nyumba kubwa siku nahamia wakasema itakua kafukuzwa kodi maana nilihamia kabla ya plaster na finishing zingine, mambo mengine nafanya mdogo lakini nimezua chuki sana kwa majirani

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
daaah mimi nina jirani ambae ni bora kuishi na ngedere mbwa wale!!nilinunua shamba miaka ya nyuma,tumepakana na yeye akawa shahidi,mwanzoni tulikuwa vizuri na nilikuwa nahifadhi vifaa vyangu vya ujenzi kwake,chokochoko ya kwanza,alijenga banda kwenye eneo langu,nikamuuliza akakiri ataliondoa ni temporary tuu,baada ya muda akaanza kujenga kwa tofali,nikamuuliza akaruka,siku hiyo hiyo nikanunua tofali nikamuachia hatua za ziada nyingine kadhaa nikajenga ukuta,nikaanza kufuga pale kwa ustawi mkubwa tuu,baada ya muda nashangaa mifugo inaibiwa,kufuatilia mishe zote za wizi zinapangiwa kwake,akaanza kushawishi vijana kila anayekuja lazima amvuruge!amenifanyia uovu mwingi sana huyu takataka!yeye na familia yake,mbaya zaidi alikuwa na kacheo kijijini na ndio ametumia kunifanyia uovu,iko siku ataingia timing tuu,nyambaf....yaani najisikia kichefuchefu
Pole mkuu.Mwenzio nilijenga fensi usiku was manane Kuna Kuna kucha wanakutana na fundi Ana jengea geti
 
Yote tisa uzio ni muhimu sana, hizo sqm 800 unaweza kuanza na tofali 2000 ukamalizia na 2000 zingine , mi nilipoanza kujenga walisema nyumba kubwa siku nahamia wakasema itakua kafukuzwa kodi maana nilihamia kabla ya plaster na finishing zingine, mambo mengine nafanya mdogo lakini nimezua chuki sana kwa majirani

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Tatizo Ni dogo tu mkuu yaweza kuwa sababu Ni hii TUMENUNUA VIWANJA USWAHILINI
 
Uswahilini kero tuu, mi hata biashara za uswahilini zishanishinda , people zina roho ya korosho Sana , Bora ujenge viwanja vilivyopimwa hakuna hzo kero kabisa
Hakika mkuu.MI NIMEAPA SIJENGI TENA USWAHILINI NA VIWANJA VYOTE NILIVYONUNUA USWAHILINI NINAVIUZA
 
Hahahhaahhahahaaha...iliwah nikita nahamia kwangun2017..jiran ana mchai chai nikawa naenda kuomba ananipa .khaaa ikafika kipindi akawaambia wanangu mwambie mama yenu apande wake mbona maua anapanda kila siku🤣🤣..tulicheka..nikapanda wangu...ila sasa ajabu akiishiwa stop ya kwanza kwangu..khaa .namkomoa nampa hela then simdai ..shenji
😂😂
Ndugu nawe ulizidi BADALA uombe mbegu upande we unachuuma tu ili ufe mkose wote,
 
Duh! Story yako Kama yangu mkuu Mimi imezidi kidogo tuu.
Kilichozidi majirani wa pande 3 za mji wangu waling'oa alama za upimaji wakajimegegea eneo langu kabla Sijajenga uzio mwingine kachimba bonge ya karo, mwingine kajenga choo mwingine mabanda ya kuku.
Nilicho wafanya hawata sahau!
😂😂😂😂Uliwafanyajee mkuu???
 
Back
Top Bottom