Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Kwahiyo ni bora kiwanja ukazungushia ukuta kwanza hata kama huna ya kujenga ili kujiepusha na kuibiana mipaka wadau??
Hahah
Ijapo maelezo ni ya upande mmoja, ngoja tujaji kwa kutumia maelezo yako peke yake.

Kwanini umekuwa mnyonge kwao kupitiliza?

Kuna faida gani kuwekwa viongozi wa ngazi za chini kabisa kama balozi na 'vitongoji'?

'Ardhi' wako wapi kuja kurekebisha mpaka nk nk?

Ujue bila kaubabe flani, binadamu mwenzako aweza kukutia dole machoni kwa uonevu wa kijinga jinga sana.

Pole kwa usumbufu uliosababishiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
ubabe
 
Wakati nanunua kiwanja,huyujirani alikuwepo na muuzaji akaniambia njia hiihapa kwa jirani nayeye yupo hapohapo anasikia.

Ila palikuwa na shimo kwenye eneo alilo nionyesha njia.
Jirani kwa kauliyake akaniambia nifukie shimo nipate njia nikaagiza roli la kifusi nikafukia shimo.
Nikampa na pesa kama laki na sabini hivi mana alikuwa kama hatakiela anajifanya ni ujurani mwema.

Baada ya miaka kama miili akauza kiwanja eneo la mpakani kwenye njia, aliemuzia akajenga mbaka akamaliza njia, wife akanipigia cm nikiwa kazini akaniambia njia inazibwa sikuamini.

Nikaomba ruhusa fasta kufika home nakutakweli mafundi wapo kozi ya nne.

Daaah jasho likanitoka nikamuita jamaa pale kwenye ujenzi na mnunuzi akiwepo nikamuuliza vp jirani mbona unazibanjiatena.

Akasema alisahau kumuambia aliemuuzia kwamba aache njia.

Mwisho wakakubali kuniachia kama futi 5 hivi kwa masharti kwamba niwalipe mafundi kuvunja ukutauliozidi, ninunue sement na kulipa mafundi kujenga upya nikalipa pesa tena waka vunja.

Baada ya miezi kadhaa tena huyu jirani alienunua akapanda mnazi na mpapai kwenye njia.

Yani siwezi kuelezaninavyo wachukia hawa jamaa.

Nikaamua kununua kiwanja kingine nakujenga sasa nasubiri umeme tu nihamie huko mana hapa gari haiingii.
Upande mwingine kwenye mpaka kuna kinjia kidogo ambacho nirahisi kufika maeneo ya madukani na hospitali, chaajabu wao wanapita kilasiku kwenye njia niliyoacha mimi hapa kwangu najiuliza sipatijibu.
Duu pole sana, shida hizo tunazipia wengi sana, sasa hapo unapasusa? Hao ndiyo binadamu!
 
Kuna siku ghetto nlitoka kdog kwenda dukan kurudi nilikuta wamechemsha maji kwa heater alaf wamegawana vikombe wanakunywa Chai wamechana na teabags zangu kwanzia siku hiyo nikawa naweka vyakula mbali alaf ni watu wazima wameshaowa ni mm peke yangu ndo sjaowa lakin hawaon kuwa wananiharibia bajet zangu, hiv unaanzaje kula vyakula kwa mtu bila kualikwa? Yan ujipakulie tu
Siku za match njoo na msichana wako mapema aanze kupika pika hapo, siku nyingine chelewa kurudi
 
Ebwanaee, hapo nimesizi na hilo likiwanja ni likubwa kwelikweli...mpaka hapo sitaweza[emoji1751]

Kwahiyo kitakachonisaidia nisiibiwe mipaka kwa haraka haraka nifanyeje?
Kwanini usijenge walau kwenye kona nne za kiwanja chako? Kisha zungusha waya, yaani tunapambana kweli na majirani
 
Njoo huku chuga uone waarusha wanavyopenda ardhi,ukifanya mchezo utanunua na njia ya kufika hapo kwenye kiwanja alichokuuzia.

Kiboko yao ni wachaga wananunua eneo LA mwarusha wanahakikisha wanamnunua mpaka na yeye anakuwa mlinzi wao baadae.
😂😂😂
Kweli hao kiboko
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hata hii pia ni nzuri, ndo nawaza hapa dear[emoji848]
Fanya hivyo, mie nilichelewa kuweka mpaka imekula kwangu kipande kilimegwa zaidi ya mita 2 na kuzibiwa barabara ila tunapita hivyo hivyo baada ya jirani was upande wapili kutuelewa.
 
Hata hii pia ni nzuri, ndo nawaza hapa dear[emoji848]
Mkuu Kama kjisent kipo Jenga fensi yote maliza Kisha panda miti ya matunda.mengine yatafuata la ukianza na nyumba itacgukua muda mrefu kumaliza kujengwa
 
Mkuu niilikuwa na tofali km elfu 4 nilitafuta mafundi nikawapa kazi sharti wajengee usiku na bila makelele.Kazi ilifanyika kuanzia SAA 5 usiku nikazungusja fensi mabanda ya kuku choo na karo ndani nikasubiri matokeo.nilijenga ijumaa usiku ilipofika j3
Jamaa wakaenda kushtaki wakapewa samansi naitwa ofisi ya kata.
Nilikaa siku 6 ya Saba ndo nikaripot .Sababu ya kuripot late ukuta ukauke
Kwenye mahojiano kwanini nimeingia maeneo yao.?
JIBU kuwa SIJAINGIA ENEO LA MTU NA JIJI NDO WANAJUA MIPAKA HALALI YA ENEO LANGU NA YAO KWANI HAO NDIO WALIOPIMA NA KUWEKA ALAMA.NAOMBA WAKATUONESHE MIPAKA HALALI!
IKAPANGWA SIKU NYINGINE.
ILIPOFIKA HATUA YA WATAALAMU KUJA KUONESHA MIPAKA WAKAPATA AIBU NA MABANDA NA VILIVYOMO VIKABAKI KWANGU! MWISHO WASIKU WAO NDO HAWAELEWANI KWANI WAMEPATA HASARA WASIYO ITATAJIA!!!
Daaaah wee jamaa ulifanya umafia wa hali ya juu aseee🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Wakati nanunua kiwanja,huyujirani alikuwepo na muuzaji akaniambia njia hiihapa kwa jirani nayeye yupo hapohapo anasikia.

Ila palikuwa na shimo kwenye eneo alilo nionyesha njia.
Jirani kwa kauliyake akaniambia nifukie shimo nipate njia nikaagiza roli la kifusi nikafukia shimo.
Nikampa na pesa kama laki na sabini hivi mana alikuwa kama hatakiela anajifanya ni ujurani mwema.

Baada ya miaka kama miili akauza kiwanja eneo la mpakani kwenye njia, aliemuzia akajenga mbaka akamaliza njia, wife akanipigia cm nikiwa kazini akaniambia njia inazibwa sikuamini.

Nikaomba ruhusa fasta kufika home nakutakweli mafundi wapo kozi ya nne.

Daaah jasho likanitoka nikamuita jamaa pale kwenye ujenzi na mnunuzi akiwepo nikamuuliza vp jirani mbona unazibanjiatena.

Akasema alisahau kumuambia aliemuuzia kwamba aache njia.

Mwisho wakakubali kuniachia kama futi 5 hivi kwa masharti kwamba niwalipe mafundi kuvunja ukutauliozidi, ninunue sement na kulipa mafundi kujenga upya nikalipa pesa tena waka vunja.

Baada ya miezi kadhaa tena huyu jirani alienunua akapanda mnazi na mpapai kwenye njia.

Yani siwezi kuelezaninavyo wachukia hawa jamaa.

Nikaamua kununua kiwanja kingine nakujenga sasa nasubiri umeme tu nihamie huko mana hapa gari haiingii.
Upande mwingine kwenye mpaka kuna kinjia kidogo ambacho nirahisi kufika maeneo ya madukani na hospitali, chaajabu wao wanapita kilasiku kwenye njia niliyoacha mimi hapa kwangu najiuliza sipatijibu.

Yaani hii ndio shida ya kutokununua viwanja vilivyopimwa
 
Back
Top Bottom