- Thread starter
- #241
Ndo tayari inakuwa ndiyo tunaouzungumza hapa!Ni bizuri kuguata taratibu za kisheria, kuna wajumbe wa serikali za mitaa, ambao ndio ngazi ya mwanzo wanaweza kuzungumza nae kama hataelewa then utaendelea na utaratibu unaofuata
Kupelekana kwenye mabaraza tayari mnakuwa mmekosana