Hiyo njia ilikuwa kwenye kiwanja chake au, ulimpa hela akagoma?Jirani kanizibia njia ya kupitisha gari langu. Nimetoka asubuhi narudi jioni nakuta bonge la fence ukuta umepanda kozi 6. Tangu siku hiyo sina hamu nae, nikaongea na jirani wa pembeni akaniuzia njia TZS 1,000,000/= ndiko napitisha gari yangu siku hizi. Sasa kuna ujirani hapo
Njia haikuwa kiwanja chake. Ni njia ilitengwa na uongozi kwamba watu tuchangie hatua kadhaa kila mmoja. Sasa kwakuwa kanizibia mimi na wengine wengi wa nyuma yangu ikanibidi nimuombe jirani yangu mwingine wa mbele yangu aniuzie barabara ndipo nipate kupita.Hiyo njia ilikuwa kwenye kiwanja chake au, ulimpa hela akagoma?
Duhnililewa kwakua milango yetu inafata nkajkuta nmelala seblen kwake et akamaind mpaka leo atusemeshan nangoja mkesha wa pasaka nilewe nkanye mlangon kwake
Sasa kwann anaukata au unapanda kwenye eneo lake?Mi jirani yangu ananisumbua kwa kitu kidogooo ila kinanitesa.napenda chai ya mchai chai...kila napo panda mchai chai yeye hua anaukata haukui kabisaa.nimeshajaribu kupanda mchai chai zaidi ya miaka minne haikuii hata kidogo.shida ni kua hata sitawai kumkamata maake ninapotoka kwenda kazini yeye ndo hukata,yani sitawai mushika akiukata.mwaka wa tatu huu sisemeshani nae
Mkorofi tu fundi hawezi kufanya tofautKero yangu nilinunua kiwanja jirani niliyepakana naye alikua amezungushia eneo lake fens baada mda akaongeza tofali ile fensi akafanya nyumba alipopauwa maji yanamwagikia kwangu nilimtuma balozi akadai alikua kazini hivyo mafundi walikosea maagizo nilimsamehe nikamwambia afunge gata na asirudie tena.
Cha mhimu ni ustaarabu! Hata huko palikopimwa bila ustaarabu kuna wakorofi vile vile!Wenye uwezo kidogo nunueni viwanja vilivopimwa huku uswahilini tuachieni ss kama kunaulazima wakuishi uswahilini jitahidini mpate fensi
Eneo sio lake.eneo ni LA baba yangu na Mimi nasimamia ufyatuaji na uuzaji wa Tofali afu kuna ufugaji Nguruwe pemben kwahio Niko nasimamia kazi za Mzee wangu.huyu mama anaekata mchai chai ni Mke wa huyu Jamaa anaelisha na kufanyia usafi Nguruwe wetu.yani basi tu sijui anafanyaga kunikomoa tu make sinaga story nae wala hata salamu hatupeani....ila kila akiona mchai mchai wangu anaukata tuu.yani haka ka mwanamke sijui nikafanye nn.yani ninapoishi kuna ardhi Kubwa sanaaaa tena kuna mbolea nyingi ila mchai mchai haujawai kukua.Sasa kwann anaukata au unapanda kwenye eneo lake?
Nakupa mbinu, tafuta zile shanga za waganga halafu panda huo mchaichai, zungusha vijiti vya miti pembeni au tairi kuulinda then weka shanga hiyo na pia tengeneza kipande cha nguo nyeusi iwe kama hirizi nyeusi then itundike hapo pembeni!Eneo sio lake.eneo ni LA baba yangu na Mimi nasimamia ufyatuaji na uuzaji wa Tofali afu kuna ufugaji Nguruwe pemben kwahio Niko nasimamia kazi za Mzee wangu.huyu mama anaekata mchai chai ni Mke wa huyu Jamaa anaelisha na kufanyia usafi Nguruwe wetu.yani basi tu sijui anafanyaga kunikomoa tu make sinaga story nae wala hata salamu hatupeani....ila kila akiona mchai mchai wangu anaukata tuu.yani haka ka mwanamke sijui nikafanye nn.yani ninapoishi kuna ardhi Kubwa sanaaaa tena kuna mbolea nyingi ila mchai mchai haujawai kukua.
Huu nimeupanda miezi sita nyuma.hapa vimetokeza majani wiki hii kwakua nimeshinda hapa karibu nusu Siku kwa wiki nzimaEneo sio lake.eneo ni LA baba yangu na Mimi nasimamia ufyatuaji na uuzaji wa Tofali afu kuna ufugaji Nguruwe pemben kwahio Niko nasimamia kazi za Mzee wangu.huyu mama anaekata mchai chai ni Mke wa huyu Jamaa anaelisha na kufanyia usafi Nguruwe wetu.yani basi tu sijui anafanyaga kunikomoa tu make sinaga story nae wala hata salamu hatupeani....ila kila akiona mchai mchai wangu anaukata tuu.yani haka ka mwanamke sijui nikafanye nn.yani ninapoishi kuna ardhi Kubwa sanaaaa tena kuna mbolea nyingi ila mchai mchai haujawai kukua.
Duh mkuu hio ni noma.hapo si watu watajua mi mchawi na hapa wanakuja vijana karibu nane kila Siku kupiga kazi.kuna jirani alinishauri niumwagie Maji ya mchele ili majani yawe na rangi nyeupe kama yametemewa mate yenye dawa ya mswaki....Nakupa mbinu, tafuta zile shanga za waganga halafu panda huo mchaichai, zungusha vijiti vya miti pembeni au tairi kuulinda then weka shanga hiyo na pia tengeneza kipande cha nguo nyeusi iwe kama hirizi nyeusi then itundike hapo pembeni!
Wakati wa kupanda huo chaichai upande usiku!
Huo lazima ustawi
Usiogope watu, wafanye watu wakuogope weweHuu nimeupanda miezi sita nyuma.hapa vimetokeza majani wiki hii kwakua nimeshinda hapa karibu nusu Siku kwa wiki nzima
Najua anaumezea mate akate majani yaliyokua na akikata unadumaa.yani haka ka mama badala kaache mchai mchai utoe majani mengi ata ukiuchuma unaendelea kubaki
Hapo nikitoka tu aaaah ntarudi na picha ya utakavoonekana ukikatwa.huyu mama matako ya nyoka kabisaa
View attachment 1734614
Duh mkuu hio ni noma.hapo si watu watajua mi mchawi na hapa wanakuja vijana karibu nane kila Siku kupiga kazi.kuna jirani alinishauri niumwagie Maji ya mchele ili majani yawe na rangi nyeupe kama yametemewa mate yenye dawa ya mswaki....