Tuweke ushabiki pembeni, ipi ni medali hapo?

Imefikiwa na kuvurugwa,tumempiga mwarabu kwao
Mwarabu yupi ndugu? Huyo Abbas Tarimba anayekaribia kushuka daraja?

Nafasi ya 10 kati ya 16, anamkanda bingwa wa ligi.

Marumo naye kayeya, ni timu gani iliyo na uhai kisoka iliyofungwa na Yanga kule CAFCC?

Hata huku home, bila 2.2bn, sijui mngemfunga nani nyie?
 
Hayo ni maneno ya mkosaji ,kumbuka mwaka jana mlifikia hadi hatua ya kuroga uwanjani kwa kombe hili hili mnaloliona halina hadhi. Acheni hadithi za sitaki mbichi hizi
 
Sasa hata km ingechezwa match 1, utopoloo angepigwa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mfano ile ya kwa mkapa, si ndo ingekua USMA wamechukua kiulainiiii
 
Hayo ni maneno ya mkosaji ,kumbuka mwaka jana mlifikia hadi hatua ya kuroga uwanjani kwa kombe hili hili mnaloliona halina hadhi. Acheni hadithi za sitaki mbichi hizi
Hakuna sehemu nimesema halina hadhi ahahah!

Nimesema hivi, mmetudhalilisha sana sisi ndugu zenu, mmenoa shoka kukatia mgomba, kweli? Na mgomba mmoja umewashinda!

Hakuna timu moja aliyocheza nayo Simba CAFCC msimu uliopita, ilikuwa dhaifu, na watani wasingetia mguu ABADANI!

Muhimu ni kuweka kumbukumbu kuwa, BAADA ya kufeli CAFCL, Simba akadondokea CAFCC, ila nasikia wenzetu wao wali-qualify moja kwa moja kwenda CAFCC.
 
Aliyedhalilisha wenzie ni yule aliyeroga uwanjan tena laivu kideoni. Maneno yatawatoka mengi ila ukweli ni kwamba imewauma sana hatua kubwa waliyoipiga Yanga
 
Sasa hata km ingechezwa match 1, utopoloo angepigwa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mfano ile ya kwa mkapa, si ndo ingekua USMA wamechukua kiulainiiii
Hahahaha..............naona umeamua kuwakeraaa msemo wa Manara πŸ˜…πŸ˜…
 
Aliyedhalilisha wenzie ni yule aliyeroga uwanjan tena laivu kideoni. Maneno yatawatoka mengi ila ukweli ni kwamba imewauma sana hatua kubwa waliyoipiga Yanga
Slogan yenu inasemaje vileee?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] USMA wamewavurugaa kabisa akili utopolooo, mda wote wanaanzisha nyuzi za kujipa ahueni Lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…