Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Mwarabu yupi ndugu? Huyo Abbas Tarimba anayekaribia kushuka daraja?Imefikiwa na kuvurugwa,tumempiga mwarabu kwao
Nafasi ya 10 kati ya 16, anamkanda bingwa wa ligi.
Marumo naye kayeya, ni timu gani iliyo na uhai kisoka iliyofungwa na Yanga kule CAFCC?
Hata huku home, bila 2.2bn, sijui mngemfunga nani nyie?