ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Mimi ni pro Israel kweli kweli. Ila ni mtu mwenye msimamo wa kujifunza kutoka kwa mtu yeyote hata kama ni adui Yangu
Ukweli ni kwamba safari hii Israel amekutana na kisiki. Vita hii ni ngumu sana kwa Israel. Haijawahi kutokea tangu kuundwa kwa taifa la Israel. Vita zote za nyuma Israel alikuwa akikanyaga tu lakini sio safari hii.
Ukweli ni kwamba GAZA hii Vita waliiomba na wameimudu kwa kweli. Binafsi naona miujiza unahitajika Israel Kushinda hii Vita. Kwa sayansi ya kawaida ni ngumu sana
Pamoja na uharibifu mkubwa wa majengo na vifo, HAMAS wameleta upinzani mkubwa sana
FUNZO: Mimi nasema siku zote don't underestimate mpinzani wako. Wote tumeona jinsi Russia alivyoshindwa vibaya Vita ya Ukraine. Taratibu Vita ya Ukraine na Russia inaelekea ukingoni.
Pia viongozi wajifunze Vita sio Suluhisho. Vita inaleta uharibifu bila sababu za msingi. Tunaua watu, tunaharibu miuondombinu. Tunaingia gharama bila sababu za msingi.
Kwa uzoefu wangu, Vita ni hasara