Ugaidi ni kitendo cha kutumia nguvu na kuogofya watu kwa ulengwa wa kidini ama kisiasa ili kupata unufaika ama maslahi binafsi ya muhusika.Labda tuelimishe maana ya ugaidi!!
Inawezekana mna maana mbili tofauti vichani mwenu
Ukitizama hilo hapo nani atakua gaidi??
Hamas ilikua political organisation kama PLO.
Ila ushajiuliza kimetokea nini mpaka Hamas wakaanza kushika silaha?
Hapa ndio unapata jibu kuwa ndio maana Gutteres alisema "Hamas' October 7 attacks are unjustifiable but did not happen with in a vaccum there is a story before october 7".
Hata PLO waliitwa magaidi hivyo hivyo walivyokua wanapambana Palestina iwe taifa kamili na Israel isijitanue nje ya mipaka ilioundwa 1947.