Tuweke Ushabiki Pembeni Simba Mnaionaje timu Yenu?

Haziwatoshi hao

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kama haina muunganiko na inawazidi magoli ya kufunga unadhani ikipata muunganiko itakuwaje?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kocha mpya anahitaji mda kuunganisha team.
 
Hata Pitso alivyokuja kuwaona mabingwa wa nchi na unbeaten hakuamini team imetwaa ubingwa inacheza mpira mbovu vile aliwaambia hakuna wachezaji wakuwavusha yanga kimataifa pale zaidi ya kufuruhia kuifunga simba ule mpira waliocheza simba kipindi cha kwanza ndo kipimo cha kimataifa waache wajipe matumaini simba mwaka jana ilikuwa mbovu lakini ilikuwa tofauti na utopolo kimataifa.
 
We boya uwe na kumbukumbu usiwe unakurupuka kama mdudu wa chooni, yanga kaweka goli 4 ugenini na mgawanyo ni huo mayele goli 2, mwamnyeto 1, morrison 1, sijui mgawanyo wa magoli unaosema ni upi? Na hapo wenzenu wamecheza kwenye viwanja vigumu wakati timu yako ikiwa kwa mkapa mechi 3 mfululizo ikipata magoli kwa mbinde sijui wakianza kutoka mikoani itakuwaje
 
Morisson nae katupia juzi,hata mwanyeto kwetu anafunga

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yaani we Utopolo umeshiba kipiro kwa shemeji yako unaanza kuishauri TIMU KUBWA. Mbona Utopolo hamfungui nyuzi za kuijenga timu yenu? Unafiki tu. Tangu lini adui akamtakia mema adui yake?

Kamshauri Haji awe mstaarabu, asiwe kama punda shukrani yake mateke.
 
Tulishakataza kujielezea sana.
 
Mwamnyeto nae ni mfungaji? Au Morrison lini kafunga hata goli 7 kwenye ligi?

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Ndomana kam mnakumbuka msimu uliopita mlivyokua mnalazimisha mayele awe mfungaji bora mkajikuta mnadondosha points kwani Mayele akikamiwa shughuli imeisha...msimu uliopita Ntibazonkiza alikua anaficha madhaifu ya mayele pindi mambo yakienda kombo pia Feisal alikua form sana sasa msimu huu Feisal karudishwa shimoni kazi mtakua nayo msimu huu

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Kwambinde imeshinda goli 5? Au kwakua wenye akili ni wawili tuu huko utopoloni?

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
mashabiki wa Kolo Fc na viongozi wao wote ni oya oya hawajielewi kila wakijaa kwenye 18 tutawapasua badala ya kujenga timu yao mbovu wanadai Yanga inashinda nje ya uwanja nasisi Utopolo tunasema Makolo lete Mzungu wengine wote butu!!
 
Hapana ndg kwenye shida tunasaidiana japo.mawazo

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
mashabiki wa Kolo Fc na viongozi wao wote ni oya oya hawajielewi kila wakijaa kwenye 18 tutawapasua badala ya kujenga timu yao mbovu wanadai Yanga inashinda nje ya uwanja nasisi Utopolo tunasema Makolo lete Mzungu wengine wote butu!!
Yaani mzungu kufunga goli basi wamehamiahwa kifikra kabisa.

Hata wale wanajf kindakindaki wa simba waliokua wanasema kweli tupu kuhusu timu yao nao wameuvaa huo mkenge wa mzungu kufunga goli.
 
Akili za utopolo na maccm ndio janga la hii nchi wenye akili ni wachache mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…