Pre GE2025 Tuwekee kero za mtaani kwako zinazokufanya uichukie CCM na usiipe kura chaguzi zinazokuja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM mbele Kwa mbele ......acha waisome namba
 
Kiherehere chao,ujuaji wao, elimu ndogo yao,, kutowalipa vizur police, walimu,jeshi, kutoa Ajira Kwa vijana, kubebana wao Tu hasa mawaziri wale wale, unafik nk, kufanya TISS Mali yao,njuleta uwoga kwenye jamii, kutokuwa na democracy ya kweli,bongo UONGO Tu...
 
ccm inawaambia viongozi wake waibe kila mtu aibe sehemu yake tu walipomuweka, wasivuke mipaka kwa m-ccm mwengine anayeiba mahali pake pa kazi alipowekwa. Hata ajira zikitoka waangalie ndugu zako, marafiki zako, ma x zako kwanza ndipo ufikirie watu wa nje. UBAGUZI NA WIZI WA CCM ndio tatizo kubwa, nitashawishi wengine walikatae hilo JINI CCM, wanabariki DHURMA ndani ya ofisi za umma
 
SILIPENDI HILO LICHAMA YANI NASUBIRI LIJE JITU KUOMBA KURA ZA SERIKALI ZA MITAA HAPA HOME....PU..CGGFXXCOOO..VU
 
La kwanza kuua bima ya afya,Hili wameyumba sana.
Madudu yanatendeka hakuna hatua inachukuliwa zaidi ya "hili nalo mkalitazame"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…