HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Na huu ujumbe ukifikie hapo ulipo. Umekuwa ukitupa post za kuburuzwa na nyumba ndogo mara kwa mara utadhani ni sheria ww kuwa nae.Mkuu Extrovert
Baada ya kutoka kwenye Ban,
Naona umeamua kutuChokonoa kusudi, na wenzio tupigwe Ban.
Huu Ni uchochezi (joke[emoji4])
Rudi nyumba kubwa kwa adabu zote...kigezo cha kuwa mtu sala haimnyimi haki ya kutulia nae.