Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

[emoji16][emoji16][emoji16] huwezi kujua kuwa unampenda mtu mpaka ushikwe masikio
Weeee, hii dunia hata hivyo sio yetu...acha tuendelee kupambana...tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana
 
Uzuri mwanamke akiwa uninterested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi!

Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke unaweza ku twist akili yake sababu nae anahisi atanufaika na hela zako.

Ni kweli utamlainisha kwa noti ila tu tunapojisahau ni kuwa yule mwanamke hakukupenda from the very start.

Uliamsha hisia zake kwa nguvu ya dola tu. Matokeo yake ni kuwa siku supply ya hela ikikata na supply ya mapenzi inakata! Hapo unajikuta tayari ulishalewa na penzi hujielewi kabisa unaanza kulia lia.

Utamlaumu bure kwa vitimbwi vyake ila kimsingi kilichomfanya aje kwako hakioni tena na the bad thing ni kuwa wengi wanakuwa tayari wana connection za kihisia na wanaume wengine.

So unakuta zile genuine feelings ziko kwa bill nass ila boss Ruge anakula mzigo kwa sababu tu anampa connections za deals na shows!

Hata boss Ruge angeoa still Nenga angekuwa anaipiga kwa siri na nyumba angejengewa kwa hela za boss Ruge tu.

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda jamani!
Naweka lamination kabisa
 
Chief sometimes mahusiano huwa yana vunjika tu with no reason cuz nature inakuwa haiwahitaji muendelee kuwa pamoja
Nature,,,wewe jamaa una akili sana au tuseme chemistry hazijakubali

teh teh najiona hapo hahahahhahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaa
 
Nakazia hapo MKUU
Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda- pochi linakataga.. shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom