Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Hahahahah mkuu sex ni kwa malaya but love ni kwa wife material! Ninaowasemea mie ni wanawake ambao wako na interest na wewe automatically. Huyu uki engage nae kimapenzi hasumbui na anakuwa mvumilivu kama Toyota corrolla 110!

Mwanamke anahisi kukuhitaji sana kihisia na anakupenda dalili zote huwa zinakuwaga wazi. Huyu anafaa kwa sababu anakuelewa mwenyewe tu naturally ila ukimfata ukaona mwanamke anaanza kona kona nyingi jua hafai atakusumbua.Usikomae wala usitumie hela.
Inategemea sasa mkuu, sio kila mwanamke anaye kupenda Ni lazima uwe nae What if ikiwa amekupenda but unaona kabisa kuwa yeye sio standard yako,!? So inapaswa kumpenda tu hivyo hivyo !?
 
Very well said mkuu,wengi tunajisahau pale mwanzoni gear tulizoingia nazo,unafukuzana na mwanamke anakukataa,unaanza kutafuta pesa,unamrubuni mpaka anakukubali.

Halafu unaanza kutamba mbele ya wenzako kuwa unashangaa yule mwanamke anavyojigonga kwako kumbe umesahau kuwa money talks,pesa ikiisha mwanamke akianza kukutenda unaanza kulilia kuwa mkeo siku hizi kabadilika.

Wife materials wapo ila wakati mwingine wanaume mihemko huwa inatuponza.
Principal niliyo nayo Mimi katika maisha yangu huwa situmii nguvu kubwa when napohitaji mpenzi wa dhati na Ambaye naona kuwa Ni mtu sahihi kwangu , huwa naacha vitu VI floor vyenyewe , nyinyi mnaotumiaga nguvu nyingi ndio huwa inakula kwenu

Kwanza ktika maisha tunapaswa kujitahidi ku-date na watu ambao wote sisi na wao endapo tukiachana tutakuwa na kitu Cha kupoteza , Yeye awe na mchango kwako na wewe kwakwe iwe hivyo uwe na mchango kwake '

Sio una date na gal kila kitu katika maisha yake una m-provide wewe tu, hata ikitokea siku 1 umekwama yeye anakuwa Hana msaada wowote ule kwako wote mnakua mmekwama sasa hayo maisha gani aisee'

Make sure unakuwa ktk mahusiano na mwanamke Ambaye anaweza kuku support pale inapo hitajika Kama ambavyo wewe unaweza kumpa support siku zote , kuna wakati inakupasa hata umtengeneze ili ajue kuwa maisha Ni kumsaidiana jaribu kudanganya kuwa huna hela na upo katika matatizo then uone reaction yke itakuwa vipi ,

Mambo ya ku- date na mwanamke then ikawa yeye Hana Cha kupoteza zaidi ya penzi lake kwako Huo Ni ulofa wa kufikiri at end of the day mkija kuachana unaanza kufikiria gharama zako [emoji16][emoji16] mwisho wa siku unapatwa na kiharusi unakufa tuna kuzika
 
Ni kosa kubwa sana kujidanganya kwamba mwanamke anapenda. Wee tumia hela ule mbususu basi.

Upendo ipo kwa mama yako tuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wanawake wanapenda

But wanawake wengi wanaopenda Bf zao hiyo situation huja baada ya ku-have sex ,

Kama ukiwa mtu wa show show mguu wa shingo mguu wa roho ,una mkojoza mabao yasiyo na idadi , halafu akienda kwa mwanaume mwingine ikawa hapati hudum a Kama anayo ipata kwako trust me una asilimia kubwa za kumshika masikio mwanamke huyo na kumpeleka utakavyo , Wanawake wote wapenda ngono na ku+0ππ&wa vizuri
 
Inategemea sasa mkuu, sio kila mwanamke anaye kupenda Ni lazima uwe nae What if ikiwa amekupenda but unaona kabisa kuwa yeye sio standard yako,!? So inapaswa kumpenda tu hivyo hivyo !?
Kama sio standard unachekecha tu mzee sio lazma umle
 
BTW kuwekeza kwa Mwanamke Ni Jambo la hatari Sana

Katika Hilo nashauri umpate mwanamke Ambaye yeye na wewe wote mna wekezeana na sio wewe tu ndio uwekeze kwake utajuta

Watu hubadilika kila siku kuendana n mazingira Extrovert wa mwaka 2014 sio huyu wa Leo kuanzia badhi ya tabia mpaka kimuonekano

Kwanza huyu anapenda Sana papa (kidding) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hawa watu bhna omba Mungu tu upate wakuendana na wewe tu vinginevyo ni vitu vizito tu

Mwanamke anakuimbia kila siku et anakupenda ila siku akikugeuzia mgongo unabaki unajiulza hivi ni huyu kweli[emoji23][emoji23]na uwekezaji wako wote unabaki unasemana na moyo wako
You said it all [emoji457][emoji375]
 
BTW kuwekeza kwa Mwanamke Ni Jambo la hatari Sana

Katika Hilo nashauri umpate mwanamke Ambaye yeye na wewe wote mna wekezeana na sio wewe tu ndio uwekeze kwake utajuta

Watu hubadilika kila siku kuendana n mazingira Extrovert wa mwaka 2014 sio huyu wa Leo kuanzia badhi ya tabia mpaka kimuonekano

Kwanza huyu anapenda Sana papa (kidding) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahah mkuu nikitumia hio phrase ya kusaidiana watu wanakujaga juu na kuona kama mtu anataka kitonger ndio maana sijaitumia😅 ila pia mwanamke ambaye unampenda lazma mtakuwa na sharing iwe costs ama assets ila mdangaji hawezi kuwekeza kwako hata kushea na wewe vitu hawezi always wakogi selfish tu
 
Sema mi napenda sana long term relations over hizi za boom bang! Kunakuwa na bond flani kama mkianzia mbali pamoja over the years mko intact.

Kukengeuka kupo tu ila inategemea na akili za mtu uliye nae...Kama ni mtu anajielewa na hana tamaa tamaa mnatoboa freshi tu! Kama una date na mshamba lazma mkwame tu [emoji28]!!!

Heshima ni muhimu sana kwa kweli ila katika watu wanaoweza kuwa na adabu kwa kitu ambacho hawakipendi au hakina thamani yeyote juu yao ni 0.5% katika 100%!

Ukiona hupendwi na unakuwa treated ugly jua kuna mwenzio ambaye anapewa opposite treatment kabisa. Anapendwa na kubebishwq hadi anakosa pumzi[emoji28]
Chief sometimes mahusiano huwa yana vunjika tu with no reason cuz nature inakuwa haiwahitaji muendelee kuwa pamoja
 
Chief sometimes mahusiano huwa yana vunjika tu with no reason cuz nature inakuwa haiwahitaji muendelee kuwa pamoja
Kweli mzee ila mahusiano yanayokufa natural death huwa kimsingi hayajafa ila yako kwenye hibernation tu
 
Principal niliyo nayo Mimi katika maisha yangu huwa situmii nguvu kubwa when napohitaji mpenzi wa dhati na Ambaye naona kuwa Ni mtu sahihi kwangu , huwa naacha vitu VI floor vyenyewe , nyinyi mnaotumiaga nguvu nyingi ndio huwa inakula kwenu

Kwanza ktika maisha tunapaswa kujitahidi ku-date na watu ambao wote sisi na wao endapo tukiachana tutakuwa na kitu Cha kupoteza , Yeye awe na mchango kwako na wewe kwakwe iwe hivyo uwe na mchango kwake '

Sio una date na gal kila kitu katika maisha yake una m-provide wewe tu, hata ikitokea siku 1 umekwama yeye anakuwa Hana msaada wowote ule kwako wote mnakua mmekwama sasa hayo maisha gani aisee'

Make sure unakuwa ktk mahusiano na mwanamke Ambaye anaweza kuku support pale inapo hitajika Kama ambavyo wewe unaweza kumpa support siku zote , kuna wakati inakupasa hata umtengeneze ili ajue kuwa maisha Ni kumsaidiana jaribu kudanganya kuwa huna hela na upo katika matatizo then uone reaction yke itakuwa vipi ,

Mambo ya ku- date na mwanamke then ikawa yeye Hana Cha kupoteza zaidi ya penzi lake kwako Huo Ni ulofa wa kufikiri at end of the day mkija kuachana unaanza kufikiria gharama zako [emoji16][emoji16] mwisho wa siku unapatwa na kiharusi unakufa tuna kuzika
Akiwa hana cha kupoteza hata uhusiano kuuvunja haoni kazi😅
 
Hahahahahah mkuu nikitumia hio phrase ya kusaidiana watu wanakujaga juu na kuona kama mtu anataka kitonger ndio maana sijaitumia[emoji28] ila pia mwanamke ambaye unampenda lazma mtakuwa na sharing iwe costs ama assets ila mdangaji hawezi kuwekeza kwako hata kushea na wewe vitu hawezi always wakogi selfish tu
[emoji16][emoji16][emoji16]

Wacha tu waone ni kitonga but huo ndio ukweli katika ulimwengu huu ku-date na mtu Ambaye Hana mchango wowote katika uchumi wenu ni hatari Sana , mkiachana yeye anakuwa Hana Cha kupoteza nimewahi shuhudia visanga vingi mitaani , mtu ana Manzi wake wanazinguana demu ana subiri jamaa aende kazini , huku nyuma anakuja anasafisha nyumba nzima nakuondoka na kila kitu ,

So huo si- ufala ,
 
Akiwa hana cha kupoteza hata uhusiano kuuvunja haoni kazi[emoji28]
You see !!? Unabaki unatoa toa macho tu Kama Mjusi kabanwa na mlango [emoji16][emoji16]

Unaanza kufikiria uta waambia Nini watu , period
 
Back
Top Bottom