Kwa sasa hata nduguzake wa damu wanamchukia,ana dhima mbele ya Allah hutamsadia wewe, na wala humsaidii kwa sasa,mwambieni ukweli atubu Muislaam huyu.Nyie mnaomchukia Rais Samia mna pepo wachafu
Nyie gen z mnatumika tu kama condom,ford foundation ipo nyuma ya haya,activism ni new terrorism, maria sarungi yupo kenya na akina mwangi chini ya Ford foundation,hela kula na kupanga anaipata wapi huko?!Tuweni makini ndugu zangu hawa wahuni wanaweza kugeuza kibao kwetu tukaonekana sisi ndo wenye makosa alafu wao wana haki
Wameanza harakati za kueneza propaganda kuwa waandamanaji walikuwa raia kutoka nje hasa hasa wakenya na lengo lao lilikuwa kuchafua cv ya tanzania kimataifa.
Tusipokuwa makini na kujipanga kisawa sawa watu wengi wa ndani na nje wataamini kuwa huu ndo ukweli na mauaji ambayo yalitokea yalikuwa kati ya serekali ya tanzania na waalifu kutoka nje
Wamekuja na propaganda kuwa sijui rais putin amemtumia samia barau
Lengo lao hapa ni kutembelea upepo ambao upo kwasasa dunia na kutaka kuaminisha watu kuwa mataifa ya magharibi yana changia kiasi kikubwa katika machafuko ambayo yanatokea Tz kwa iyo sisi ambao tuna mchukia samia tunatumiwa na mataifa ya magharibi
Watu wakiamini aya tutakuwa tumekwisha hata siku tukifanya maandamano mengine tutaambiwa sisi ni waasi ambao tunatumia na mataifa ya magharibi
Tuweni makini na tuwe na nguvu hawa watu wanatumia akili nyingi sana inabidi na sisi tutumie akili nyingi katika kupambana nao na moja ya njia ni kuzidi kuonyesha ubaya wao kitaifa na kimataifa
Na ikiwezekana tuwe na kiongozi ambaye ana weledi mzuri wa kutoa hutuba na kujenga hoja katika lugha mbili kiswahili na kingereza tuwekeze nguvu zetu zote katika kueneza ubaya wao ili siku tukija kuwapiga spana tuwe na haki
Nyie gen z mnatumika tu kama condom,ford foundation ipo nyuma ya haya,activism ni new terrorism, maria sarungi yupo kenya na akina mwangi chini ya Ford foundation,hela kula na kupanga anaipata wapi huko?!
Regime change inapohitajikaWao Ford foundation wanafaidika vipi na ufadhilii huo?
Umekunywa damu za watanzania lita ngapi? Zimekutosha au bado unataka zaidiNyie mnaomchukia Rais Samia mna pepo wachafu
Sie tunayemchukia ndio wwngi ushahidi ni idadi ya watu wachache kujitokeza kupiga kura, achana na idadi ya kubumba ya nec ccm!Nyie mnaomchukia Rais Samia mna pepo wachafu
Na nyie mnatumiwa na nani? kama sio wahuni aliosema Polepole ndo wanawatumia basi nyote mnatumikaNyie gen z mnatumika tu kama condom,ford foundation ipo nyuma ya haya,activism ni new terrorism, maria sarungi yupo kenya na akina mwangi chini ya Ford foundation,hela kula na kupanga anaipata wapi huko?!
Kumanyoko weweNyie gen z mnatumika tu kama condom,ford foundation ipo nyuma ya haya,activism ni new terrorism, maria sarungi yupo kenya na akina mwangi chini ya Ford foundation,hela kula na kupanga anaipata wapi huko?!
Polepole ni sour loser,hana umungu mtu aliokua nao kipindi cha maguNa nyie mnatumiwa na nani? kama sio wahuni aliosema Polepole ndo wanawatumia basi nyote mnatumika