Tuweni makini huko kwenye shughuli zetu, kuna watu wanakofia mbili ni ngumu kuwatambua

Tuweni makini huko kwenye shughuli zetu, kuna watu wanakofia mbili ni ngumu kuwatambua

Huyu Thomas Benedicto A.K.A Thomas Ben mbona kila mahali anaibuka?

Kariakoo alivua nguo kuzuia meza zisihamishwe,ghafla ni mwenyeji wa soko la Karume na kashuhudia mateja wanasababisha moto😁😁😁

Ila hizi hadithi za Alfa Lela Ulela muhimu sistem mjipange,mnakurupuka mno!
FJZGVF8XIAoUjSj.jpg
FJZGVF1XwAEAlQS-1.jpg
 
hata humu wamejaa tena ndo wanaongoza kwa kukosoa serikali na kuitukana tukana mwingine unapotea kule Twitter ndo wamejaa hatari.

Sio kila anaekosoa ni mpinzani mwingine anakosoa ajue unawaza nini na jamii inawaza nini juu ya serikali.
 
Usalama wa nchi ni kazi ngumu sana wengi tunawadharau na kuwakashifu lakini hawa watu Mungu awabariki japo wana madhaifu yao lakini wanapambana sana.Inawezekana huyo jamaa yupo na wenzie wengi sana hapo pale pana mkusanyiko mkubwa sana hata ugaidi kutarget hapo ni rahisi lazima wawe na Assets hapo
 
Back
Top Bottom