Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kamanda kila siku nakuambia Ccm sio watu wema.Huyu Thomas Benedicto AKA Thomas Ben mbona kila mahali anaibuka Kariakoo alivua nguo kuzuia meza zisihamishwe Ghafla ni mwenyeji wa soko la Karume na kashuhudia mateja wanasababisha moto Amulikwe.
Ila hizi hadithi za Alfa Lela Ulela muhimu sistem mjipange mnakurupuka mno!View attachment 2086984View attachment 2086985
Usipost upuuzi. Ccm sio waty wema.Labda ni mapacha
Ndo hivyo mkuuAiseee