Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Ndiyo
Hii app mi nilikuwa nayo kitambo.
Inachora kiskeleton Fulani,kivuli cha mtu ..yaani km sketch Fulani.

Ila nashangaa siku hizi inakupa mwili..ndo nikaingia tena kuangalia nikashangaa.

[emoji23][emoji23][emoji23] Ila kuna baadhi ya picha unakuta mamikono yamepinda mara kidevu kinaangalia kwingne basi tafrani tupu.
 
Back
Top Bottom