Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Screenshot_20230924-232240.png
 
... jamani anzisheni mada za kuchochea mawazo ya kulipelekea taifa mbele - changamoto za kijamii, kiuchumi, kisiasa, kimaadili, ajira, n.k. Hizi akili za kila mara kuwaza katikati ya magoti na kitovu cha mwanamke, "Tigers of the East" tutaendelea kuimba kama kasuku tu.
Don't take life too serious, mental health ni kitu muhimu sana hivyo jua kuna muda wa kuburudisha akili na muda wa kupambana ili uweze kuweka mkate mezani familia yako iishi katika standard sahihi.
 
Back
Top Bottom