Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ngoja nitafute hizo comments zako[emoji23]Mimi huyu Lamomy??
Mbona me mpagani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nitafute hizo comments zako[emoji23]Mimi huyu Lamomy??
Mbona me mpagani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana, yeye ni mwalimu wangu tu
Ngoja nitafute hizo comments zako[emoji23]
Nimekulia gheto, najua hizo mambo vizuri tu. Na huyo cute ndio kanifundisha zaidi kupika[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa umenipiga, wachugga wanajua kunyonga wida na kula milungi
Wala ulisema mwenyewe hadharaniAcha ufukunyuku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekulia gheto, najua hizo mambo vizuri tu. Na huyo cute ndio kanifundisha zaidi kupika[emoji23][emoji23]
Hebu mtag basi aje[emoji30][emoji30][emoji23]
Wala ulisema mwenyewe hadharani
Unataga ghafla unashaangaa notification inaingia kwako[emoji23][emoji23][emoji23], au basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimtag mkeo aje? Mbona mtihani mzito huu!!
Umenifanya nicheke km chizi
Haya Cute Wife [emoji860] unaitwa na shem
Unataga ghafla unashaangaa notification inaingia kwako[emoji23][emoji23][emoji23], au basi
Kwa mfano tu[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kweli kwan mimi kyuti?
Kwa mfano tu[emoji23]
Nimemtoa huku huku jf, na yeye anapenda kuingia huku kutoa stress[emoji23][emoji23]Hivi wewe ndoa unalinda saa ngapi?
Wenzio tuko single hatuna cha kupoteza [emoji23][emoji23]
Nimemtoa huku huku jf, na yeye anapenda kuingia huku kutoa stress[emoji23][emoji23]
Apana apa bado hausema,na utasema🤣Tunafanya yote kwa ajili yenu
Utasubiri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MTAACHANA
🤣🤣🤣Utasubiri sana[emoji23][emoji23]
Navyompenda sasa, tena ngoja niweke pic yake avatar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣Navyompenda sasa, tena ngoja niweke pic yake avatar
Ndio mambo yake hayo, ni mtu wa kazi na bata[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilimuona mkeo sandbank
Anajiachia tu! Wala hakumbuki km kaacha mume huku 🤣🤣🤣Ndio mambo yake hayo, ni mtu wa kazi na bata[emoji23]