tecknologia23
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 259
- 382
- Thread starter
- #41
Wanamingle??Wanna mingle🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamingle??Wanna mingle🙂
Sisi sio wazungu. Hata uige vipi. Africa tuna kitu kinaitwa Back Tax. Watu wamekupambania ufike ulipofika, you need to do your part kwa wazazi na wadogo zako. What do you think will happen to your kids siku ukifa ghafla na wazazi wako na ndugu zako umewachinjia bahariniAm not responsible for that. I got a family to take care of. Ila nnapoweza, nawasaidia kama nnavomsaidia mtu mwingine yeyote. Siwezi kuacha kulipa ada ya mwanangu ili nimtumie baba pesa ya kupaua kibanda chake. Thanks.
This is my point of view too... Ani iko hiviSio wajibu wa mtoto kumhudumia mzazi. Ni wajibu wa mzazi kumhudumia mtoto.
Iko hivi, kwa mambo yoote mema na mazuri waliyokutendea wazazi wako tangu unazaliwa, hakuna bei utaweza kuwalipa. Malipo yake ni kuwatendea vivyo hivyo wajukuu zao, au hata zaidi.
Kama baba yako alichakalika kutwa kucha kuhakikisha hamkosi kula, hakikisha watoto wako hawakosi kula under any circustance. Kama ulisoma na kila ulichohitaji ulipatiwa kwa wakati, tenda hivo hivo kwa wanao.
Kama mama alijinyima kula ili wewe ushibe tendea hivo wanao, kama ulianza kukengeuka, baba/mama akachukua bakora akakucharaza urudi kwenye reli, fanya hivo kwa wanao wanaojifunza utukutu. Sio kuanza kuleta uzungu akati kizazi kinaharibika.
Pamoja na changamoto za ndoa, ila kama baba/mama yako alimvumilia mwenzie ili wewe ukue ukiwa chini ya malezi ya wazazi wote wawili jitahidi kumaliza tofauti zenu huko ili mlee hao watoto hadi watakapo jitegemea mkiwa pamoja.
Kama hukuwahi kumwona baba yako akimfokea/akipmiga mama yako mbele yenu, usimfokee mkeo ama kumpiga mbele ya watoto. Hata kama uliwahi kushudia hicho kitu, just dont. Yaan my point is Just give your kids the best you got from your parents. Hapo utakuwa unalipa madeni ya yoote mazuri waliyokutendea wale wazee.
Niamini mimi, Furaha na mafanikio ya wajukuu zao ndiyo zawadi kubwa unaweza kuwapa wazazi wako. Sio hivi visenti.
Mathayo 12:47-50Ndio wazazi ni Mungu wapili wa duniani
Sawa umeamua niwako sio wangu mie wangu nawatunza ni wezavyoMathayo 12:47-50
[47]Mtu mmoja akamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kusema nawe.
[48]Akajibu, akamwambia yule aliyempasha habari, Mama yangu ni nani? Na ndugu zangu ni akina nani?
[49]Akawanyoshea mkono wanafunzi wake, akasema, Tazama, Mama yangu na ndugu zangu!
[50]Kwa maana ye yote atakayeyafanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, huyu ndiye ndugu yangu, na umbu langu, na mama yangu.
Baba wa dunia hii utanisamee Tu. sina undugu na wewe usipo nielewa kwenye imani yangu binafsi