Tuzidi kuwaombea ndugu zetu watanzania walioko Iran

Tuzidi kuwaombea ndugu zetu watanzania walioko Iran

Kuna uwezekano mkubwa Israel akaendelea kuwapiga Iran

Tuwaombee ndugu zetu walioko huko

Ahsanteni sana 🇹🇿
Hamna undugu na irani, acheni kujipendekeza na kudandia matatizo yasiyo wahusu

Delanna matatizo yenu kwanza
 
Zaidi zaidi tuwaombee wa hapa nyumbani, ukondoo wao haijulikani kama wamenuna ama wanacheka, wana maumivu ama wana furaha.
 
Back
Top Bottom