chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nahimiza watanzania tupige gombo la kutosha, tufanye maombi Mungu atajibu. Tukeshe mabarabarani, makanisani, misikitini na kila mahala.
Hakuna haja ya kupoteza hela zinazochangwa kupambana na corona, pesa hizo zikusanywe ziachwe baadae zitumike kujenga mashule na hospitali.
Yalichangwa mabilioni baada ya tetemeko la Bukoba tukaamua kuyatumia kujenga shule ya kisasa ya Ihungo na Nyakato, sasa maelfu ya watoto wetu watasoma pale.
Pia Ukerewe, baada ya meli kuzama, tuliamua yale mamilioni ya michango kijengwe kituo vha afya Bwisya, sasa kinapandishwa hadhi maana ni kikubwa kwelikweli.
Hayo mabilioni yatakayoletwa na mashirika ya kimataifa na taasisi, yawekwe mahali, tuchape maombi kwa imani, halafu hizo pesa zitumike kujenga hospitali kubwa ya kisasa. Najua hizo pesa hazitapungua bilioni 50 bali zitazidi.
Ndugu Mtanzania, fikiria hospitali ya bilioni 50 mpaka 100 ikiwa na chuo cha afya! Ni faida iliyoje!