Tuzikatae nchi zote watakaojifanya wapo na Watanganyika baada vya Vikwazo

Tuzikatae nchi zote watakaojifanya wapo na Watanganyika baada vya Vikwazo

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,880
Ndio kuna nchi kazi zao ni kutumia fursa wapo kama magonjwa nyemelezi wao hawajali maisha ya watu.

Kwa sakata linaloendelea nyakati hizi baada ya ndugu zetu kumiminiwa Risasi na makatili tarehe 29/10/2025 ili kuwalinda watawala makatili wanywa damu kuna hatari vikwazo vikatembea vizuri tu kutoka nchi za Ulaya.

Sasa kuna nchi watajifanya wapo na watanganyika kujifanya wanatupenda sana ili kuwaona wao ni wazuri tuwakatae haraka sana.

Hizo nchi nazo zitakua makatili na zitakua zinaunga mkono chinjachinja ya ndugu zetu watanganyika, na damu za watanganyika zitalia juu yao.

Kuna watu wameanza kusema tukipigwa sanctions nchi flani na flani zitakua nasi, tambueni hizo nchi moja kwa moja zitakua zinasapoti umwagaji damu/chinjachinja ya ndugu zetu.
 
Hamna nchi itakayo risk mkopo au uwekezaje kwenye sehem yeny political instability..hata hao dp wed wapo kweny mtanzuko
 
Back
Top Bottom