Kupanda kwa bei ya dhahabu, tanzanite na vyote made in Tanzania hakujawahi kuakisiwa popote positively katika nchi hii.
Kote upigaji ndiyo ulio kipaumbele.
Serikali kupitia LATRA ilitangaza bei mpya za nauli kwa kuzingatia diesel @ 2,800/- wakiyataka mabasi kutokutumia nauli hizo kabla ya 14 May.
Hadi 14 May wenye mabasi waendelee kuvuna hasara japo wao serikali hata huwa hawa subiri hata yale ya siku 27 tu ya store kutumika.
Kwamba wao serikali ndiyo waseme wanasimamia maslahi ya mlaji? Huu si ni usanii tu?
Tulipo sasa bei za mafuta zimepanda tena kwa karibu 600/- @ Lita.
Hili si la vyama tena.
Wananchi - twafa!
Achia mbali rushwa za polisi ambazo ni rasmi majiani, ushuru usio tija, gharama za ving'amuzi, faini za kubambikiziana nk, sisi walaji wa mwisho tunasalimikia wapi?
-----------
Source: Bei mpya ya petroli, dizeli hii hapa!