Tuzo anazoshinda muigizaji Monalisa mbona hazishangiliwi?

Wakati alipoenda kuchukua hiyo tuzo aliaga?angeikosa ingekuwaje au alikuwa kawekewa kabisa.
 
monalisa mbaya.mdomo km mnyakyusa anayefundishwa kusema "tyununu".
 
Wewe ndiye monalisa mwenyewe unajipigia chapuo?
 
Ni kwa sababu hana skendo na havai kiajabu ajabu ndiyo maana...

Hao wanaoshangiliwaga wengi wao ni watu wa matukio...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…