Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
monalisa mbaya.mdomo km mnyakyusa anayefundishwa kusema "tyununu".Wakuu,
Hii ni mara ya pili msanii huyu wa kitambo kwenye Bongo movie anapata tuzo huko nje ya nchi.
Ila hakuna mbwembwe za kupokelewa kama Lulu..
Inamaana hata Wizara ya habari hawaoni kazi anazofanya huyu msanii?
Au tuzo zake ni uchwara?
Wanaojua juu ya tuzo anazogombania huko nje ya nchi huyu Monalisa mtujuze.
Dumonalisa mbaya.mdomo km mnyakyusa anayefundishwa kusema "tyununu".